Rajab (Harmonize) Vs Nasib (Diamond). Nani tumkabidhi tuzo 2023?

Rajab (Harmonize) Vs Nasib (Diamond). Nani tumkabidhi tuzo 2023?

Harmonize anakosa management nzuri,basi!angepata manager mzuri angekuwa mbali Sana,kwa upande wangu naona anastahili pongezi maana anapambana kivyakevyake.....maskini eti Mara Kajala ndio Manager wake yaani daaah,anahaki ya kujiita Jeshi

[emoji23][emoji23] very true et kajala akupeleke kimataifa aisee
 
Mimi najua kuliko hata hao...nipeni hela niingie studio niwafurahishe
 
Tena napenda wanamme wanaodeka!

"chakula usichopika wewe hakiwi kitamu mi sili Cha hotelini🙄🙄🙄🙄🙄mmmh Kama sio madeko Ni Nini,?

Kwa hiyo Unataka uanze kunidekea au sio?
Naanza kudeka Rasimi ,nisipokudekea weeee, niende Kwa nani ? 🤩
 
Ushawahi kunywa mirinda nyeusi?
uipate ya baridiiiiiiii inavyoshuka koooni hahaha.

Kwendraaaaa, bado haizidi utamu wa mapenzi , hivi unachezea mapenzi ?

Sasa token out mkulee mshibee vizuriii, alafu mkamalizie Kukutanisha kambususus na kamkuyenge ,uoneeee !.

Au , wakati mnapeana utamuuuuuu, huku mnakunywa Mirinda, weeeeeee, utamuuuu utafanya upasue chupa Bure 🤣🤣
 
Kupitia kazi ambazo zimekuwa released mwaka huu. Itahusisha utunzi mzuri wa mashairi, mpangilio wa sauti, uhalisia wa kilichoimbwa, muonekano wao kwenye video, maadili na umakini wa kazi (seriousness)
Ikiwa hvyo, Diamond hatakiwi kuwepo hapo..
Kina Jay melody Zuchu Mbosso kwenye miezi 6 nadhan wametoa nyimbo nzurii tu.
 
uipate ya baridiiiiiiii inavyoshuka koooni hahaha.

Kwendraaaaa, bado haizidi utamu wa mapenzi , hivi unachezea mapenzi ?

Sasa token out mkulee mshibee vizuriii, alafu mkamalizie Kukutanisha kambususus na kamkuyenge ,uoneeee !.

Au , wakati mnapeana utamuuuuuu, huku mnakunywa Mirinda, weeeeeee, utamuuuu utafanya upasue chupa Bure 🤣🤣
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom