IfNot WhyNot
Senior Member
- Aug 21, 2013
- 144
- 257
Harmonize anakosa management nzuri,basi!angepata manager mzuri angekuwa mbali Sana,kwa upande wangu naona anastahili pongezi maana anapambana kivyakevyake.....maskini eti Mara Kajala ndio Manager wake yaani daaah,anahaki ya kujiita Jeshi
Haya Baby kuanzia Leo nadeka ...au sisi wanaume haturuhusiwi kudeka ?Baby deka mmmh🎼🎼
Deka,Aaah🎼🎼
Deka
Nikudekezeeee!.....
Jeshiiiii
Umeonaaa eeehhh😂😂😂😂Wee ukimpata anayekupenda na kukudekeza,love is a very beautiful thing....
wacha wee😂😂😂🤩😂😂😂😂Wee ukimpata anayekupenda na kukudekeza,love is a very beautiful thing....
Hatari kabisaaUmeonaaa eeehhh
Tena napenda wanamme wanaodeka!Haya Baby kuanzia Leo nadeka ...au sisi wanaume haturuhusiwi kudeka ?
Naanza kudeka Rasimi ,nisipokudekea weeee, niende Kwa nani ? 🤩Tena napenda wanamme wanaodeka!
"chakula usichopika wewe hakiwi kitamu mi sili Cha hotelini🙄🙄🙄🙄🙄mmmh Kama sio madeko Ni Nini,?
Kwa hiyo Unataka uanze kunidekea au sio?
Naelewaaa, yaan mapenzi msiyafananishe na kitu chochoteee, myaache tu yalivyo 🤩Hatari kabisaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwizi wewe;!!!Naanza kudeka Rasimi ,nisipokudekea weeee, niende Kwa nani ? 🤩
Ushawahi kunywa mirinda nyeusi?Naelewaaa, yaan mapenzi msiyafananishe na kitu chochoteee, myaache tu yalivyo 🤩
Nakuambiajeeee kukuiba weee ni kosa ambalo Niko tayari linipeleke Jela Kwa shariti la kufungwa pamoja Nawewe 🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mwizi wewe;!!!
🤣🤣🤣🤣🤣UmevurugwaNakuambiajeeee kukuiba weee ni kosa ambalo Niko tayari linipeleke Jela Kwa shariti la kufungwa pamoja Nawewe 🤣🤣
uipate ya baridiiiiiiii inavyoshuka koooni hahaha.Ushawahi kunywa mirinda nyeusi?
Ikiwa hvyo, Diamond hatakiwi kuwepo hapo..Kupitia kazi ambazo zimekuwa released mwaka huu. Itahusisha utunzi mzuri wa mashairi, mpangilio wa sauti, uhalisia wa kilichoimbwa, muonekano wao kwenye video, maadili na umakini wa kazi (seriousness)
Ni kweli ila ni Kwa sababu yakooooo 😜🤣🤣🤣🤣🤣Umevurugwa
🤣🤣🤣uipate ya baridiiiiiiii inavyoshuka koooni hahaha.
Kwendraaaaa, bado haizidi utamu wa mapenzi , hivi unachezea mapenzi ?
Sasa token out mkulee mshibee vizuriii, alafu mkamalizie Kukutanisha kambususus na kamkuyenge ,uoneeee !.
Au , wakati mnapeana utamuuuuuu, huku mnakunywa Mirinda, weeeeeee, utamuuuu utafanya upasue chupa Bure 🤣🤣