Rally Bwalya Simba wamepigwa mchana kweupe!

Mleta mada mda huu amejifunika gubigubi analia kinyawawa.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],, mwambie yule Ni RB8 magician left footer,super maestro mzee wa soft touch. The King of Kitwe. Wenywe walimwita ' not for sale'
 
Mkuu, si vibaya ukapita huku tena walau kutusalimia tu
 
Binafsi yangu Mimi sipendi kuangalia mpira wa kibongo ila nilimuona Ile Simba day jamaa anajua sana
 
We m.k.u.d....uko wap njoo uusome tena huu UCHAWI WAKO

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Wivu huna ila roho inakuuma sana.
 

Kwahiyo kwa akili yoko ww ungewaacha hao wachezaji alaf ukawachukua akina Sarpong, Carlinhos, yakuba, Kisinda ifikie kipindi tuache wivu nasio lazima ww ukiwa namagarasa bas ulazimishe naupande wapili wawenayo
 
Kwahiyo kwa akili yoko ww ungewaacha hao wachezaji alaf ukawachukua akina Sarpong, Carlinhos, yakuba, Kisinda ifikie kipindi tuache wivu nasio lazima ww ukiwa namagarasa bas ulazimishe naupande wapili wawenayo
Hayo magalasa yalikulaza mapema tu Unguja...nyambafu.
 

Mto mada sahivi yupo kimyaa kama kapigwa ganzi.. [emoji2957] jamaa sahivi anakiwasha balaa
 
Renzo achana na Simba!! Vinginevyo utaendelea kukimbia kila uzi wako!! Huu nao umeshaukimbipa!! Kisa! Bwalya ni Moto wa kuotea mbali!¡
 
Aliye tengeneza huu UZI sijui ana hali gani ? Anapo muona Fiston na supong wana paza paza tu mipira juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…