Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi muona kabla ila ktk mechi na fc platinum aliupiga mwingi sanaMaestro magician super left footer Rally Bwalya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],, mwambie yule Ni RB8 magician left footer,super maestro mzee wa soft touch. The King of Kitwe. Wenywe walimwita ' not for sale'Mleta mada mda huu amejifunika gubigubi analia kinyawawa.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mkuu, si vibaya ukapita huku tena walau kutusalimia tu.... Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda! Klabu ya Simba ifike wakati wabadilike, badala ya kusajili magarasabya kigeni kwa bei nyingi ni heri wawape nafasi wazawa tu!
-----------------------------------------------------------------------
Ni hayo tu, povu ruksa!
Jamaa anaujua sana acha kabisa muangalie kama game ya janaSijawahi muona kabla ila ktk mechi na fc platinum aliupiga mwingi sana
Hahaaaa nmecheka sana mkuuMkuu, si vibaya ukapita huku tena walau kutusalimia tu
We m.k.u.d....uko wap njoo uusome tena huu UCHAWI WAKOKwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa!
Wote ni mashahidi mnamkumbuka yule Msudan Sharif El Din "Mhogo Mchungu" alivyokuja kuwa flop. Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda!
Klabu ya Simba ifike wakati wabadilike, badala ya kusajili magarasabya kigeni kwa bei nyingi ni heri wawape nafasi wazawa tu! Huwezi ukamnunua mchezaji kwa bei kubwa halafu mechi kama ya juzi ya Plateau anawekwa benchi na mchezaji mzawa kama Mzamiru Yassin!
Ni hayo tu, povu ruksa!
Bonge la strikerIla mugalu aende kwa mkopo namungo hamna kitu pale
Wivu huna ila roho inakuuma sana.Kwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa!
Wote ni mashahidi mnamkumbuka yule Msudan Sharif El Din "Mhogo Mchungu" alivyokuja kuwa flop. Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda!
Klabu ya Simba ifike wakati wabadilike, badala ya kusajili magarasabya kigeni kwa bei nyingi ni heri wawape nafasi wazawa tu! Huwezi ukamnunua mchezaji kwa bei kubwa halafu mechi kama ya juzi ya Plateau anawekwa benchi na mchezaji mzawa kama Mzamiru Yassin!
Ni hayo tu, povu ruksa!
Duh!!!We m.k.u.d....uko wap njoo uusome tena huu UCHAWI WAKO
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
UKWELI USEMWE.
SIMBA INAIDADI KUBWA SANA YA WACHEZAJI WABOVU HASA PRO AMBAO NINGEKUWA KIONGOZI SIMBA NINGEACHANA NAO NI HAWA WAFUATAO...
1. PASCAL WAWA.
2.JOASH ACHENG.
3 .KAHATA.
4. BWALYA.
5. MORISON AMESHINDWA......
6. MUGALU NAE AMESHINDWA KABISA.
WANAOFANYA VIZURI NI.
1. CHAMA
2. KAGERE.
3.MISQUSON.
KWAHERI FLAGA.
Hayo magalasa yalikulaza mapema tu Unguja...nyambafu.Kwahiyo kwa akili yoko ww ungewaacha hao wachezaji alaf ukawachukua akina Sarpong, Carlinhos, yakuba, Kisinda ifikie kipindi tuache wivu nasio lazima ww ukiwa namagarasa bas ulazimishe naupande wapili wawenayo
Bwalya ni kama alivyoanza Fraga.
Alianza kama m'bovu lakini kila anavyoondelea kucheza anaimarika vizuri.
Goli la pili aliassist yeye baada ya kupiga machine kali golikipa akatema Kapombe akamalizia nyavuni goli la pili.
Goli la tatu pia aliassist yeye baada ya kumpokonya mpira Chama na kudrive na kumpa John Boko aliye usindikiza nyavuni kiulaini kabisa goli la tatu.
Mchango wa Bwalya jana ulikuwa mkubwa sana.
kapigwa na guu la shoto la BwalyaMto mada sahivi yupo kimyaa kama kapigwa ganzi.. [emoji2957] jamaa sahivi anakiwasha balaa
haaa haaaa ajeWe m.k.u.d....uko wap njoo uusome tena huu UCHAWI WAKO
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Hayo magalasa yalikulaza mapema tu Unguja...nyambafu.