Rally of Tanzania 2021 Ubena Zomozi

Rally of Tanzania 2021 Ubena Zomozi

I bet Tundo anaenda kuchukua ubingwa
Screenshot_20210725-115549.png
 
Mbona majina yote yamekaa ki-Hindi?
Angalia hizo gari zao ndio utajua kwa nini ngumu mbongo kuwa nazo. Sponsorship Tz bado shida sana. Tunajivunia hizi hizi Evo X zetu na Subaru. Labda angekuja Huwel angeweza sumbua top 3
 
Zamani kina Kinjekitile walikuwa wanashiriki mbio na ma Land Rover etc kwanini hatuoni SUV kwenye rally siku hizi? RRONDO, Mshana Jr, Extrovert na wadau wote naomba majibu
Mkuu tatizo pesa, bila udhamini kucheza Rally inabidi uwe vizuri. Kwa sasa ambaye anacheza na SUV baadhi ya Rally za Tanga ni Baghoza anatumia Range Rover Old Model, Kuna Nissan Patrol nayo mwaka jana ilionekana.

Kenya wenzetu Wana Rally kwa ajili ya Off-road na SUV inaitwa Rhino Charger Challenge na mtu yeyote anaruhusiwa kucheza.

Kwenye rhino charger juzi kuna jamaa waligonga mti una nyuki waling’atwa mpk wakakimbilia kwenye maji mtoni.
 
Hapo wabongo pure ni Amapiano Rally Team dereva Charles Biko na Navigator David Matete.
Huyu dogo nae anakuja vizuri sana.
Namiss hizi mambo dah na uzee nao na majukumu ngoja tuanzishe hata ya veteran tuje na van zetu kina wish/ipsum
😂😂😂😂😂😂😂
IMG_20210725_141542.jpg
IMG_20210725_141555.jpg
IMG_20210725_141513.jpg
 
Back
Top Bottom