Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 625
- 856
Hii ndo beast
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndo beast
Watu wengi hawaelewi utofauti wa rally race na race za kawaida wanadhan hata Bmw inaweza shiriki rallyHizo wanachezea Drag Racing. Kucheza Rally na Mazda Rx8 inataka uwe na pesa unaweza ukaua rotary engine kwenye lap ya 1.
Inaweza ikawa nafuu kuhudumia Subaru 3 kuliko Mazda Rx8 Moja kwenye rally.
Mnyama mkaliHii ndo beast
Mbona majina yote yamekaa ki-Hindi?Sio kweli
1. Carl Tundo (VW r5)
2. Karan Patel (Ford Fiesta r5)
3. Guy Boterill (Toyota Etios)
Gurjit wa 10. Kapigwa hata na Dharam Pandya aliye namba 7
Kwa mtazamo wangu Carl Tundo anachukua hii ya leo. Maana mpaka jana kaongoza overall na mpaka sasa imebaki section moja anaongoza. Guy uhakika nafasi yake ya tatu. Moto wa Patel nao hauweziView attachment 1867544
I bet Guy Boterill anaenda kychukua ushindi was pili, kwa tofauti ya point chache sana
Angalia hizo gari zao ndio utajua kwa nini ngumu mbongo kuwa nazo. Sponsorship Tz bado shida sana. Tunajivunia hizi hizi Evo X zetu na Subaru. Labda angekuja Huwel angeweza sumbua top 3Mbona majina yote yamekaa ki-Hindi?
Patel Yuko vizuri nayeKwa mtazamo wangu Carl Tundo anachukua hii ya leo. Maana mpaka jana kaongoza overall na mpaka sasa imebaki section moja anaongoza. Guy uhakika nafasi yake ya tatu. Moto wa Patel nao hauwezi
Mkuu tatizo pesa, bila udhamini kucheza Rally inabidi uwe vizuri. Kwa sasa ambaye anacheza na SUV baadhi ya Rally za Tanga ni Baghoza anatumia Range Rover Old Model, Kuna Nissan Patrol nayo mwaka jana ilionekana.Zamani kina Kinjekitile walikuwa wanashiriki mbio na ma Land Rover etc kwanini hatuoni SUV kwenye rally siku hizi? RRONDO, Mshana Jr, Extrovert na wadau wote naomba majibu
Wakina Taylor wa Moro walikuwa wanacheza na BMW Series 5 old model. Walikuwa wanamaliza Rally chache, mara gari ichemke au kuvunja vitu chini.Watu wengi hawaelewi utofauti wa rally race na race za kawaida wanadhan hata Bmw inaweza shiriki rally
Wakina Taylor wa Moro walikuwa wanacheza na BMW Series 5 old model. Walikuwa wanamaliza Rally chache, mara gari ichemke au kuvunja vitu chini.
Mkuu tatizo pesa, bila udhamini kucheza Rally inabidi uwe vizuri. Kwa sasa ambaye anacheza na SUV baadhi ya Rally za Tanga ni Baghoza anatumia Range Rover Old Model, Kuna Nissan Patrol nayo mwaka jana ilionekana.
Kenya wenzetu Wana Rally kwa ajili ya Off-road na SUV inaitwa Rhino Charger Challenge na mtu yeyote anaruhusiwa kucheza.
Huyu dogo nae anakuja vizuri sana.Hapo wabongo pure ni Amapiano Rally Team dereva Charles Biko na Navigator David Matete.
David Matete yupo vizuri sana.Huyu dogo nae anakuja vizuri sana.
Namiss hizi mambo dah na uzee nao na majukumu ngoja tuanzishe hata ya veteran tuje na van zetu kina wish/ipsum
😂😂😂😂😂😂😂
View attachment 1867673View attachment 1867674View attachment 1867675