Ram Singh: Kijana alidunduliza sarafu ndani ya gunia la kilo 35 kwa muda wa miaka 12 ili aweze kununua zawadi ya Friji siku ya birthday ya mama yake

Miaka 12 ya kumeki imetosheleza ghalama ya friji na kupelea Rupees 2000.. ni kwamba fweza ya india iko chini kiasi gani
 
Uzalendo ni uendelezo, ni urithi. Kijana Singh alikuwa na mapenzi makubwa kwa mama yake. Ni matokeo ya kumbukumbu ya yote mema aliyofanyiwa na mama. Hakuna linalo semwa juu ya baba yake, naamini hana mchango mkubwa kwenye makuzi ya Singh. Uzalendo haupandikizwi kama mchicha na kuvunwa siku ya 21. Si kwa wanasiasa kuwaimbia watu wawe wazalendo na wakishuka majukwaani ndio mafisadi wakubwa. Maneno na matendo yao hupanda mbegu ya chuki badala ya uzalendo. Leo hii gari yenye benders inatazamwa mara moja na mtu kuendelea na hamsini zake, kids kuna mwanasiasa ndani yake.
 
Ninakuunga mkono kwa mbaaaali. Kuna pahala umekosea kidogo.
 
Back
Top Bottom