Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Ninakuja PM mkuu.Mkuu hvyo vitabu tunavipataje?
19-12=7 Darasa la PiliAlipoanza kuzikusanya alikua na umri gani?
Anataka kutuua huyu, kuna mwingine anasema anafundisha kichinaBoss,kiingereza bado ni shughuli ,tukiongeza hapo kijerumani itakuwaje!!Hahahaaaa
Angeenda kubadili Central BankSasa angekuta sarafu nyingine hazitumiki tena ndio angejamba cheche
Ninakuunga mkono kwa mbaaaali. Kuna pahala umekosea kidogo.Uzalendo ni uendelezo, ni urithi. Kijana Singh alikuwa na mapenzi makubwa kwa mama yake. Ni matokeo ya kumbukumbu ya yote mema aliyofanyiwa na mama. Hakuna linalo semwa juu ya baba yake, naamini hana mchango mkubwa kwenye makuzi ya Singh. Uzalendo haupandikizwi kama mchicha na kuvunwa siku ya 21. Si kwa wanasiasa kuwaimbia watu wawe wazalendo na wakishuka majukwaani ndio mafisadi wakubwa. Maneno na matendo yao hupanda mbegu ya chuki badala ya uzalendo. Leo hii gari yenye benders inatazamwa mara moja na mtu kuendelea na hamsini zake, kids kuna mwanasiasa ndani yake.
Kwa huku Tanzania ni BOTAngeenda kubadili Central Bank
ni kama huyu mo kusema kwake bilion 20 si kitu! kama si manyanyaso haya nini?Mkuu, kunyanyaswa na mgeni ndani ya nchi yako ni dharau kubwa.
mhhhni kama huyu mo kusema kwake bilion 20 si kitu! kama si manyanyaso haya nini?
Bei pia muhstasari kidogo kuhusu maarifa ya hicho kiJerumani ni kwa level gani.Ndio tuseme mmenigomea kwa makusudi kujifunza Kijerumani?
Kumbe hukuisoma hii habari, hata kichwa cha habari?Alipoanza kuzikusanya alikua na umri gani?
Mkuu Mi avatar yako tu hoiUpande wangu sijakataa ila sina mchongo wa kwenda huko kwa hilter mkuu, nipe mchongo nije kujifunza.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio tuseme mmenigomea kwa makusudi kujifunza Kijerumani?
Sii watanzania hatuna haja ziko mortuary