Friji zetu uswazi zipo mortuay kiasi unazichanga huyo mzazi labda aishi miaka mia mbiliSijaelewa kabisaaa!!
Friji itakuwaje Mortuary? Hapa watu wengi hawatakuelewa kabisa mkuu...Friji zetu uswazi zipo mortuay
Wakifa watanielewaFriji itakuwaje Mortuary? Hapa watu wengi hawatakuelewa kabisa mkuu...
Poakiasi unazichanga huyo mzazi labda aishi miaka mia mbili
SawaWakifa watanielewa
tusifokeane mzee kama vipi distribute bure kama sadakaNdio tuseme mmenigomea kwa makusudi kujifunza Kijerumani?
hahahahaaaaaa poa kaka mkubwa nimekuelewatusifokeane mzee kama vipi distribute bure kama sadaka
He can still give back to the community for FREEtusifokeane mzee kama vipi distribute bure kama sadaka
Mimi si mkamilifu kwa asilimia zote. Nimejifunza, nitajifunza mpaka siku yangu ya mwisho.Ninakuunga mkono kwa mbaaaali. Kuna pahala umekosea kidogo.
Wakifa watanielewa
Labda Hitler anataka kufufuka aitawale tena duania heheheeeTukijifunza Kijerumani chako tunaenda kukitumia wapi?
Kumbuka English ndyo Linguafranka of the world so,there is no need of learning you're lg!
219,284.42 Tanzanian Shilling kwa rate ya leo hiiHizo rupia 13500 ni sh ngapi za madafu
Ngoja nimuulize jamaa yangu mmoja hivi anapiga kazi Bureau De Change alafu nitakupa jibu chaaapHizo rupia 13500 ni sh ngapi za madafu
Huyu wa kixhina masharti yake makali nimeogopa mie aiseeAnataka kutuua huyu, kuna mwingine anasema anafundisha kichina
jifunze tuHuyu wa kixhina masharti yake makali nimeogopa mie aisee
Mkuu, kwani unafikiri hizi lugha hata ni ngumu basijifunze tu
Achana na siasa za CHADEMA mkuu shauri yako. Njoo CCMHuyu wa kixhina masharti yake makali nimeogopa mie aisee
CHADEMA wamebaki na nguvu Twitter Chadema wamekuwa kama Kiba wanaomchukia DiamondAnataka kutuua huyu, kuna mwingine anasema anafundisha kichina