Ramadhan Kabwili: “Simba walinifuata, nitafute kadi ya njano, wanipe IST mpya”

Zile bao tano tulizowachabanga vyura tulitoa rushwa kiasi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaituhumu simba kuwa inanunua mechi na ushahidi wako ukiwa ni maamuzi ya uwanjani, hivi umeangalia mechi ya prison na yanga? Kuna tukio kama la kwenye mechi ya simba na mwadui, mchezaji wa prison alikua onside alikua anaelekea kufunga lakini linesman akanyosha kuwa ni offside.

Tukio lingine mchezaji wa yanga kanawa nje kidogo ya 18 tena karibu na linesman lakini akapeta.
Ni hivi hakuna asiyejua ubovu wa marefa na haujaanza leo na kama hayo maamuzi inakuwa sio ubovu wa waamuzi bali wanakuwa wamenunuliwa basi hata yanga inanunua mechi.
 
Huyu huwezi kuamini maneno yake..huenda ana matatizo kichwani. Kama hapa anasema yupo timu kubwa na inatwaa mataji,utawezaje kumuamini kwenye kauli zake zingine..!?? Huyu siyo mzima!! Yaani timu ya wananchi ina twaa mataji!?? Labda taji la miiba kichwani alilovikwa Yesu!
 
Alikaa langoni bado akala goli sasa analeta porojo bila ushahidi hapa.
Wakomae na njaa yao Simba watuache.
 
Nasubiri kuona mwisho wake huyu dogo utaishia vp.
Akumbuke mchezaji siyo shabiki wa timu fulani bali ni ajira.
Amejiharibia kisoka
kaongea ukweli mtupu...kipa wa Mbao alipewa pesa Kirumba mkashinda 3-2 akafukuzwa kwenye timu bahati ni mwalimu anafundisha shule...walivyomshindwa Kabwili wakawapa hela Kevin,Dante na Gadiel....sasa hivi kuna chapa GSM na Taifa gas haongeki mtu
 
Turnkey
Ukweli wa maneno tupu bila ushahidi ndio unadandia mkuu
ALI ALI alipokuwa anajifunga magoli kuwafaidisha Yanga napo mlimnunua..?
Kessy akiwa Simba akampasia NGOMA mpira akafunga mlimpa hela pia sio?...
HAMNA JIPYA NYIE TEMBEENI JUU YA MPIRA
 
kaongea ukweli mtupu...kipa wa Mbao alipewa pesa Kirumba mkashinda 3-2 akafukuzwa kwenye timu bahati ni mwalimu anafundisha shule...walivyomshindwa Kabwili wakawapa hela Kevin,Dante na Gadiel....sasa hivi kuna chapa GSM na Taifa gas haongeki mtu
Ukiambiwa uthibitishe unaweza au unaishi kupitia porojo za mtaani?
 
Yaani usipewe IST uachie magoli eti upewe IST utafute kadi,huyu dogo anatumika. Halafu issue sensitive unaizungumza kishogashoga jumla jumla tu. Awe na ushahidi wa kutosha,
 
Nenda Kaaangalie Mechi ya Yanga na Prison dkk ya 33 mchezaji wa Yanga, Peter alianguka na kuunawa mpira kwenye box mwamuzi hakutoa penati kama alivyofanya kwa Yanga.
Yule Kocha Adolf ni mchezaji wa zamani wa Yanga wote tunamjua na jinsi mlivyompa pesa, Salum Kimenya alimgomea alipoona anataka kuwafunga akapiga shuti ikagonga mwamba hapo hapo akafanyiwa Substitution. Usiwaseme huku ukiwaaacha hasimu wao. Kwa Simba na Yanga wote lao moja.
 
Mimi mwenyewe nimeshangazwa na kauli yake, eti timu aliyopo inabeba mataji duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…