kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao takukuru washapelekewa kesi kama hizi za kuwahusu mikia na rushwa michezoni na nsa job na shaban kado hadi ushahidi alikua nao wa pesa alizopelekewa na ulimboka mwakingwe ili aifungishe mtibwa,tena hii kesi ilifika hadi mahakamani morogoro lkn hata ilivyoisha isha,takukuru kwenye kana hizi uwaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaituhumu simba kuwa inanunua mechi na ushahidi wako ukiwa ni maamuzi ya uwanjani, hivi umeangalia mechi ya prison na yanga? Kuna tukio kama la kwenye mechi ya simba na mwadui, mchezaji wa prison alikua onside alikua anaelekea kufunga lakini linesman akanyosha kuwa ni offside.MO anapotishia kujiondoa Simba maanayake anaona anatumia fedha nyingi kwa mambo ya kipuuz. Timu anasajili kwa fedha ndefu,mishahara mikubwa bado na mechi anunue, marefa ahonge mwishoe anaona atafilisika bila sababu.
Mechi ya hivi karibun ya Simba na Mwadui, Mwamuzi msaidizi akinyoosha kibendera cha offside wakati mshambuliaji wa Mwadui katoka katika msitu wa mabeki wa Simba na kumlamba chenga kipa wa simba ili onyesha jinsi fedha inavyo udhalilisha mpira wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mpuuziNasubiri kuona mwisho wake huyu dogo utaishia vp.
Akumbuke mchezaji siyo shabiki wa timu fulani bali ni ajira.
Amejiharibia kisoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo baada ya kugoma kupewa kadi na kucheza mechi ya simba hali ilikuwaje kwa timu yake ya yanga yeye akiwa langoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
kaongea ukweli mtupu...kipa wa Mbao alipewa pesa Kirumba mkashinda 3-2 akafukuzwa kwenye timu bahati ni mwalimu anafundisha shule...walivyomshindwa Kabwili wakawapa hela Kevin,Dante na Gadiel....sasa hivi kuna chapa GSM na Taifa gas haongeki mtuNasubiri kuona mwisho wake huyu dogo utaishia vp.
Akumbuke mchezaji siyo shabiki wa timu fulani bali ni ajira.
Amejiharibia kisoka
Ukiambiwa uthibitishe unaweza au unaishi kupitia porojo za mtaani?kaongea ukweli mtupu...kipa wa Mbao alipewa pesa Kirumba mkashinda 3-2 akafukuzwa kwenye timu bahati ni mwalimu anafundisha shule...walivyomshindwa Kabwili wakawapa hela Kevin,Dante na Gadiel....sasa hivi kuna chapa GSM na Taifa gas haongeki mtu
Nenda Kaaangalie Mechi ya Yanga na Prison dkk ya 33 mchezaji wa Yanga, Peter alianguka na kuunawa mpira kwenye box mwamuzi hakutoa penati kama alivyofanya kwa Yanga.MO anapotishia kujiondoa Simba maanayake anaona anatumia fedha nyingi kwa mambo ya kipuuz. Timu anasajili kwa fedha ndefu,mishahara mikubwa bado na mechi anunue, marefa ahonge mwishoe anaona atafilisika bila sababu.
Mechi ya hivi karibun ya Simba na Mwadui, Mwamuzi msaidizi akinyoosha kibendera cha offside wakati mshambuliaji wa Mwadui katoka katika msitu wa mabeki wa Simba na kumlamba chenga kipa wa simba ili onyesha jinsi fedha inavyo udhalilisha mpira wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mwenyewe nimeshangazwa na kauli yake, eti timu aliyopo inabeba mataji duuhHuyu huwezi kuamini maneno yake..huenda ana matatizo kichwani. Kama hapa anasema yupo timu kubwa na inatwaa mataji,utawezaje kumuamini kwenye kauli zake zingine..!?? Huyu siyo mzima!! Yaani timu ya wananchi ina twaa mataji!?? Labda taji la miiba kichwani alilovikwa Yesu!
DuhNenda Kaaangalie Mechi ya Yanga na Prison dkk ya 33 mchezaji wa Yanga, Peter alianguka na kuunawa mpira kwenye box mwamuzi hakutoa penati kama alivyofanya kwa Yanga.
Yule Kocha Adolf ni mchezaji wa zamani wa Yanga wote tunamjua na jinsi mlivyompa pesa, Salum Kimenya alimgomea alipoona anataka kuwafunga akapiga shuti ikagonga mwamba hapo hapo akafanyiwa Substitution. Usiwaseme huku ukiwaaacha hasimu wao. Kwa Simba na Yanga wote lao moja.