Ramadhan kareem 2024

Ramadhan kareem 2024

Kwa huku Kibaha ambàko wakazi wengi Ni waislamu wakiwemo, wazaramo, wangindo, wamwera , wamakonde na wagweno. Tutapata unafuu mwezi huu maana katika kipindi Cha mfungo wanapunguza Sana wanga, ulodzi na uchawi.
 
Kwa huku Kibaha ambàko wakazi wengi Ni waislamu wakiwemo, wazaramo, wangindo, wamwera , wamakonde na wagweno. Tutapata unafuu mwezi huu maana katika kipindi Cha mfungo wanapunguza Sana wanga, ulodzi na uchawi.
Ndo wanasema yale madude wanayofuga yanga yanakua yamefungiwa
 
Kwa huku Kibaha ambàko wakazi wengi Ni waislamu wakiwemo, wazaramo, wangindo, wamwera , wamakonde na wagweno. Tutapata unafuu mwezi huu maana katika kipindi Cha mfungo wanapunguza Sana wanga, ulodzi na uchawi.
Uislamu una pinga, una kataza waumini wake kujihusisha na hayo matendo,
Kwa mujibj wa Qur-an na hadith. Mwenyezi Mungu amewahidi adhabu kali sana wanaojihusisha na matendo hayo, hali ya kuwa wana jinadai wao ni Waislamu...
Wengi wanao jihusisha na matendo hayo wanaionja adhabu hapa hapa duniani.. Na kesho akher adhabu inaendelea...
 
SWALA NA SWAUMU..
Kume kuwa na maswali mengi sana juu ya anae funga alafu ajayekeleza ibada ya swala, Aswali.
Umefunga alafu uswali! Swaumu yako itakuwa kwenye mashaka makubwa, Tujitahidi kufunga na kutekeleza ibada ya swala na matendo mengine mema.
Tofauti kati ya Uislamu na Imani nyengine ni katika swala.
Insha allah Mwenyezi Mungu atuwezeshe kufunga na kuswali.

Enyi mliamini,Mmeandikia kufunga kama walivyoandikiwa waliokuwa kabla yenu.

Kama nilivyo andika huko juu,Saumu ni miongoni mwa ibada muhimu katika Uislamu kama zilivyo ibada nyengine (Nguzo kuu) ikiwemo Swala na Zaka.

“Nguzo kuu wa Uislamu ni mambo matano:
  • (1) Kushuhudia kuwa hapana Mola anayepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu na kwamba Muhammad ni Mtume wake (shahada).
  • (2) Kusimamisha swala.
  • (3)kutoa zaka.
  • (4)kufunga mwezi wa Ramadhan.
  • (5)Kuhiji Makka kwa anayeweza.
 

Allahumma Ballighna Ramadan

Oh Allah, grant us the ability to reach Ramadan
 
Mwezi wa Ramadhan umegawinyika mara tatu.
Kumi la kwanza..
Kumi la pili.
Kumi la tatu..
Ni makumi gani hayo... Next..
 
Kumi la kwanza
Kumi la Rehma.
Uradi uliopendekezwa kusoma katika kumi hili ni: YAA ARHAMA R-RAAHIMIYN
Fanya uradi huu kwa wingi. Nia ya uradi, Mwenyezi Mungu awe radhi nasi,Rehma na kuomba tukubaliwe swaumu zetu...

Kumi la pili ni Kumi la Msamaha. Kumi la kuomba msamaha kwa Mola wetu.Sisi binadamu ni wakosefu aidha kwa bahati mbaya au makusudi...Kiufupi kila binadamu wa mkosefu.
Uradi ulipendekezwa na wengi ni ASTAGHFIRULLAAH LA'ADHWIM WA ATUUBU ILAYHI....Tu Staghfiru kwa wingi...
Kumi la tatu ni Kuokolewa katika moto..Jahannam.
uradui ulipendekezwa na wengi ni
ALLAHUMMA AJIRNAA MINA NNAAR SAALIMIYN
Hakikisha unatia nia na upo na udhu...Usisahau kila baada ya uradi omba dua,,waombe wazazi wako.marehemu zako....
MWENYEZI MUNGU NI MJUZI ZAIDI...

Next, usiku wa cheo..Ni usiku gani huo?
 
Habari za mda huu watu wa nguvu !

Naomba kutoa elimu kidogo kuelewesha kuhusu jambo fulani, kuna uzi hapa nimeona jamaa anadai shekhe anakataza watu wasifuturu na makafiri.

kwanza tuelewe maana ya kafiri ni nn!? kufunga na kufuturu ni kwa kina nani waliokusudiwa!?

kafiri ni neno la kiarabu la linaloandikwa ''kafir'' yaani asiyeamini , kingereza infidel au nonbeliever.....Ukiangalia aya ya kufunga ilikuja kwa wanaoamini tu basi wala sio makafir ,ina maana kafiri (nonbeliever) haruhusiwi kufunga hata kufuturu ,maana kufuturu ni maalum kwa wanaofungatu ,mwingine atakula tu ila sio kufuturu yaani kama haujafunga unachokula sio futari .

Ayah ya funga Surah Al Baqara, ayah 183

''Enyi mlioamini,Mmeandikiwa kufunga kama walivyoandikiwa waliokuwa kabla yenu''
Neno nililopigia mstari ndio point yangu, kwamba walioamini tu ina maana kama huamini huwezi kufunga kwa mujibu wa sheria za kiislamu.

KUFUTURU ni nin?

Kufuturu ni chakula au kinywaji ambacho mtu aliyefunga anakula au kunywa baada ya siku kuisha ,kufikia ukomo wa kufunga kisheria kuanzia alfajiri linapochomoza jua mpaka jioni linapozama jua...Chochot iwe kinywaji au chakula anachokula alaiyefunga ndio kufuturu .

kile unachokula awali ndi kufuturu na kufungua pale kama ulikunywa maji ,tunda ,chakula chochote pale ndio umefuturu na sio vyakula kibao. kwa misingi hii ambaye haamini (kafir) hawezi kufuturu kisheria kwamba hana uwezo wa kufunga kisheria ,haiwezekani mtu asiyeamini akafunga hata uje kijamii isipokuwa wale ambao hawaruhusiwi kufunga kisheria kama ;
  1. Wagojwa
  2. Kichaa (mwendawazimu)
  3. Msafiri(mtu aliye kweny safari)
  4. Wazee
  5. Wanawake waliopo kweny hedhi/damu ya uzazi
  6. Wanawake weny mimba na wanaonyonyesha
Licha ya hao kuwa na udhuru wa kutokufunga kisheria ,wapo ambao watalipia ila wenye hali za kudumu kama wazee wao ni ''exceptional'' kweny kufunga.

Sambamba na hili , kweny kufuturu hao hawawezi kufuturu bali kama wakila pamoja na waliofunga ,wanakula kawaida kama kila siku ila sio futari kwa vile kufutur ni wa waliofunga tu.!!

NB: UZI HUU NI MAHSUSI KWA AJILI YA KUELIMISHA WALA SIO MALUMBANO , NIWATAKIENI KWARESMA NA RAMADHANI NJEMA 🤲
 
Back
Top Bottom