Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga ule mpira nikajua hapa inaenda kuzaa goli na kweli ndivyo ilivyotokea.
Zaidi ya kukodoa macho kama panya aliyebanwa na mlango hakuna kingine Kayoko (mwanachama wa Yanga) anajua zaidi ya kuiua Simba Sc.