Ramadhan Kayoko ndiye mwamuzi mbovu katika NBC Premier League! Freekick uliyowazawadia Yanga imeigharimu Simba

Ramadhan Kayoko ndiye mwamuzi mbovu katika NBC Premier League! Freekick uliyowazawadia Yanga imeigharimu Simba

Punguza makasiriko mtani. Utu uzima dawa lazima vijana wafundishwe mpira.
 
Angalia vizuri marudio ya lile goli kwenye tv,,utaona camara alipigwa tochi usoni kabla ya mpira kupigwa.
Utaona anajikinga usoni kuna tochi ya kijani kwenye paji la uso,,
Unapaswa uwe makini sn utaona.
 
Kibu kafanyiwa tackeling 2 na beki ambazo zote wamekosa mpira wamecheza mwili ndani ya boks kayoko ka mute tu
Moja tu nyingine sio penalty. Mshukuruni refa nyie, mngepata kadi nyekundu, nina uhakika Yanga hasinge kukosa goli tatu minimum, kwani kipindi cha pili pumzi ilikata ndio maana mkajaziwa washambuliaji.
 
Red card saw moja
penat 2 mwish katoa faulo ya uongo iliowapa goli mtani jiulize nan kafaidka na refa
Clear offside ya Ateba vipi, je red card ya Abdulazik akiwa na Dube au nyani haoni nanilii yake?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Hizi mechi waamuzi wanakua na presha sana Kuna beki wa Simba alimfanyia foul dube akiwa mtu wa mwisho, ile ni red card Haina mjadala
Mbumbumbu hilo hawalioni wala kuligusia...wanamlaumu Camara kachomesha wakati kwa matampi katema mpira wakafunga na kwenda kwenye kibendera kukata mauno.
 
Hizi mechi waamuzi wanakua na presha sana Kuna beki wa Simba alimfanyia foul dube akiwa mtu wa mwisho, ile ni red card Haina mjadala
Ile ni red card na pia Camara kumuangusha Musonda ni penati uto tumenyimwa! Mechi ilikuwa iishe mapema tu!!Simba wana zali sana na marefa!!
 
Chukulia kama mngekua pungufu nini kingewakuta
Mpira umeanza fatilia lini kwanza 2015/16 simba anasawqzish zid ya yanga wakiwa wana ongoza 1 goli la msuva penati simba wapo punguf mavugo na kichuya anatupia la 2 la ushndi red card alipata bukungu simba wakiwa nyuma 1 bila
mzunguko wa kwanza tena figisu tu mkude anakula red kipnd cha kwanza goli la mkono tambwe yanga wana ongoza full vurugu simba wanabaki pungufu na wanasawazsha kichuya kwaiyo pungufu sio shda redcard toa penat toa sio kubalanc matukio
 
Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.

Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga ule mpira nikajua hapa inaenda kuzaa goli na kweli ndivyo ilivyotokea.

Zaidi ya kukodoa macho kama panya aliyebanwa na mlango hakuna kingine Kayoko (mwanachama wa Yanga) anajua zaidi ya kuiua Simba Sc.
Nyie hamkupata freekick hata Moja? Mlizitumiaje?
 
Angalia vizuri marudio ya lile goli kwenye tv,,utaona camara alipigwa tochi usoni kabla ya mpira kupigwa.
Utaona anajikinga usoni kuna tochi ya kijani kwenye paji la uso,,
Unapaswa uwe makini sn utaona.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
download (3).jpeg
 
Hizi mechi waamuzi wanakua na presha sana Kuna beki wa Simba alimfanyia foul dube akiwa mtu wa mwisho, ile ni red card Haina mjadala
mimi ni shabiki wa simba, bila hiyana wala ajizi ile ilikuwa kadi nyekundu kayoko akaamua kubalance mchezo.
 
Vipi Ile card nyekundu aliyostahili kupewa abdulazack hamza na bado mnamlaumu kayoko? Mbumbumbu ni mbumbumbu kwakweli!
Yanga mnafaida ya kushinda mechi za hivi karibuni na hii haimanishi hamtakiwi kushinda mnaweza mkaendelea kushinda dhidi ya Simba na si kila mkishinda mseme mnaquality Sana zaidi ya Simba hizi mechi za derby zinachezwa Sana nje ya uwanja na zinaamuriwa na makosa ya maamuzi pia kwa hiyo furahini mnapopata furaha siku akiba yenu hii ndo itakuwa inawafariji. Hongereni Sana watani
 
Clear offside ya Ateba vipi, je red card ya Abdulazik akiwa na Dube au nyani haoni nanilii yake?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
red card ni sawa, ila ile ya ateba sio offside hujui mpira wewe maandazi ya kuchoma.
 
Back
Top Bottom