Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ya red card ya arsenal leo salibaHizi mechi waamuzi wanakua na presha sana Kuna beki wa Simba alimfanyia foul dube akiwa mtu wa mwisho, ile ni red card Haina mjadala
Clear goal yanga wakikuwa hatari kwenye goli la simba ,na ike ya dube ilikuwa red card, simba kwa yanga bado mteja ,yanga ingawa hawakucheza vizuri as a team ila quality players waliamua matokeoYaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga ule mpira nikajua hapa inaenda kuzaa goli na kweli ndivyo ilivyotokea.
Zaidi ya kukodoa macho kama panya aliyebanwa na mlango hakuna kingine Kayoko (mwanachama wa Yanga) anajua zaidi ya kuiua Simba Sc.
Vipi Ile card nyekundu aliyostahili kupewa abdulazack hamza na bado mnamlaumu kayoko? Mbumbumbu ni mbumbumbu kwakweli!Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga ule mpira nikajua hapa inaenda kuzaa goli na kweli ndivyo ilivyotokea.
Zaidi ya kukodoa macho kama panya aliyebanwa na mlango hakuna kingine Kayoko (mwanachama wa Yanga) anajua zaidi ya kuiua Simba Sc.
Kuweni na shukurani kawabeba sana ile foul kwa Dube ilikua red card ♦️Ningekua karibu na kayoko saiz nna kesi ya mahuaji kudadeki faulo mbili ndani ya boks wanacheza mwili badala ya mpira anatoa macho tu kayoko sasa faulo ya fernandez faulo gan ile
Red card saw mojaKuweni na shukurani kawabeba sana ile foul kwa Dube ilikua red card ♦️
Mpira uliangalia wapi mzee duhhNafasi ya offside ya Ateba hamuizungumzii. Hebu tuambieni mmepewa bahasha kiasi gani.
Mmekoma! Mateja ktk ubora waoYaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga ule mpira nikajua hapa inaenda kuzaa goli na kweli ndivyo ilivyotokea.
Zaidi ya kukodoa macho kama panya aliyebanwa na mlango hakuna kingine Kayoko (mwanachama wa Yanga) anajua zaidi ya kuiua Simba Sc.
Tena ilikua dakika ya 50 ni straight redcardHizi mechi waamuzi wanakua na presha sana Kuna beki wa Simba alimfanyia foul dube akiwa mtu wa mwisho, ile ni red card Haina mjadala
Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga ule mpira nikajua hapa inaenda kuzaa goli na kweli ndivyo ilivyotokea.
Zaidi ya kukodoa macho kama panya aliyebanwa na mlango hakuna kingine Kayoko (mwanachama wa Yanga) anajua zaidi ya kuiua Simba Sc.
Tukiachana na utani refa mechi ya leo imemshinda.Nyinyi watoto wa Karia huwa mnabebwa sana! Ila hambebeki. Namshauri Mañgungu aanze tu kuwacharaza bakora ilo akili ziwakae sawa.
Sasa si ndo ubovu tunao sema?Vipi kuhusu last man kucheza rafu na kupewa kadi ya njano ?
Ni sheria gani ya mpira inasema last man foul ni yellow card punishment
Ww unajua Mira au zaman ulikua shabiki wa netbali,Kwa iyo hata iyo faulu iliyosababisha goli hukuona?Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga ule mpira nikajua hapa inaenda kuzaa goli na kweli ndivyo ilivyotokea.
Zaidi ya kukodoa macho kama panya aliyebanwa na mlango hakuna kingine Kayoko (mwanachama wa Yanga) anajua zaidi ya kuiua Simba Sc.
Ile faul aliyotoa na kusababisha Goli ilikua sahihi, uwezi kucheza mpira wa kichwa ukaweka daruga ni Reckless play una hatarisha usalana wa mchezaji mwenzako.Tukiachana na utani refa mechi ya leo imemshinda.
Simba amenyimwa penality mbili ambazo hazihitaji nguvu wala VAR kuzitambua.
Ameshindwa kutoa kadi nyekundu kwa Razaki baada ya kumchezea rafu Dube wakati alikuwa mtu wa mwisho.
Faulu iliyo zaa goli haikuwa halali.