Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Mnapoteza akili na hisia zenu kwenye ushabiki uchwara, sijui nani karoga hi nchi jamani.......Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii...
TFF hawataki matumizi ya VARYaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga ule mpira nikajua hapa inaenda kuzaa goli na kweli ndivyo ilivyotokea.
Zaidi ya kukodoa macho kama panya aliyebanwa na mlango hakuna kingine Kayoko (mwanachama wa Yanga) anajua zaidi ya kuiua Simba Sc.
Mara zote kwa mtanzania kila kifo kina mchawi so kawaida tu...Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii.
Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga ule mpira nikajua hapa inaenda kuzaa goli na kweli ndivyo ilivyotokea.
Zaidi ya kukodoa macho kama panya aliyebanwa na mlango hakuna kingine Kayoko (mwanachama wa Yanga) anajua zaidi ya kuiua Simba Sc.
Mchawi wa Simba ni KayokoMara zote kwa mtanzania kila kifo kina mchawi so kawaida tu...
Sawa mtoto wa kike nimesikia ushauri wakoAfwile munu Asigale munu, sisi kama wananchii tulimkataa kayoko mapema ila nyie ndio mliekuwa mnataka achezeshe so vumilia mtoto wa kiume wewe
Mtaendelea kuibuka na mchawi kila kukicha na vifo bado vitaendelea...Mchawi wa Simba ni Kayoko
Kubalini mmefungwa, acheni lawama za kitotoKayoko baada ya mechi lazima akachukue muamala wake kwa msomali
Nyinyi watoto wa Karia huwa mnabebwa sana! Ila hambebeki. Namshauri Mañgungu aanze tu kuwacharaza bakora ilo akili ziwakae sawa.Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii...