Ramadhan Special Thread

Mkuu habar yako, ningekuomba kabla hujampinga o kumfahamisha mtu kitu kwa usahihi kwanza uwe unauhakika na unakijua kile unacho kiongea, bunaadam tumeubwa na mihemuko ila akili ya kujua ndio inatutulizia mihemko, so jifunze ili ujue.
 
Hauoni kama swaumu ipo peke yake.na swala ipo peke yake?

Ok sawa unataka kujenga hoja ambayo mimi ntakujib kama ww unavyotaka au kama ww ulivyojenga hoja nataka nkuulize je swala na shahada si nguzo tofauti naaamini 100% jibu lako litakuwa ni ndio/swadaqta

Swali kwako mkuu
Je? Swala ya mtu amabaye ajatoa shahada ina kubalila/ yajuzuu?? tafadhal tunaomba jibu
 
Shahada.inayosemwa kwenye nguzo ya uislam,ni ile kabla ya kuanza kuswali.
 
Kweli mkuu
 
Nilitaka kumuanzia mbali ila hapa
Short and Clear
 
Mkuu nafikiri tumuachie mungu mwenyewe haukumu.maana zote ni ibada.na ukifanya unapata swawabu na ukiacha unapata dhambi
Nikweli ila haileti maana kwasababu

Qur an 2:183 183. Enyi mlio amini! Mmeamrishwa Saumu, kama waliyo amrishwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu.

Tukiwaangalia walio amrishwa ni walio amini sasa tuwaangalie walioamini ni akina nani?

Qur an 8:2-4. 2. Hakika Waumini ni wale ambao anapo tajwa Mwenyezi Mungu nyoyo zao hujaa khofu, na wanapo somewa Aya zake huwazidisha Imani, na wakamtegemea Mola wao Mlezi.
3. Hao ambao wanashika Sala na wanatoa katika yale tunayo waruzuku.
4. Hao kweli ndio Waumini. Wao wana vyeo, na maghfira, na riziki bora, kwa Mola wao Mlezi.

Huyo ndie aliye lazimishwa kufunga kwa mujibu wa Qur an tunayo iyamni.
Tumuombe Allah azikubali swaumu zetu kwani yeye ndie hakimu wa mahakimu
All the best RAMADHANI KARRIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…