Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
Kwahiyo Tuache kufundishana Dini yetu ,kwa kuoga hilo unalosemandio muda mzuri wa kuwatafuta wauaji wa kibiti
Ebu jaribu kuheshimu Taratibu za watu kila mtu ana haki na uhuru wa kujua dini yake ,maadamu hakuingilia uhuru wa mtu