Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta , Tenahii hata kwa wale wazee wa ndoa yabomani hawaruhusiwi pia coz haitambuliki kidiniHamna mme na mke bila ndoa katika Uislam, hao ni mahawara na wanafanya zinaa, zinaa ni uchafu ktk Uislam, km alivyosema Allah fil Qur'anil kariim kwamba;
"Na msiikurubie zinaa hakika zinaa ni uchafu na ni dhambi kubwa"
Ili ufunge unatakiwa kuwa tohara, na hao watu wawili hawako tohara inaamaana hawana funga wanashinda na njaa.
Allahuma aaminaPenelope mwanaume na mwanamke kukaa bila ndoa ni haramu ndani ya mwezi wa Ramadhan na miezi mingine pia, yaani ni haramu siku zote. Wakitaka kukaa pamoja ni lazima ndoa kwanza kisha mambo mingine, hakuna kuonja... Dalili ni kama alivyogusia hapo thatsit, na saumu zao zipo hatarini.
Na ni wajibu kwao kutubia kwa mola wao kama ikiwa ni wakweli katika dini yao, na Allah anamsamehe kila mwenye kutubia. Na miongoni mwa masharti ya toba ni; 1 kuacha hilo dhambi, 2 kujutia kulifanya, 3 kuazimia kutolirudia tena, 4 na kama kuna haki ya mtu ni lazima airudishe kisha amalizie na hayo matatu hapo mwanzo.
Allah atusamehe madhambi yetu yote. Amiin
Mimi nilimsikiliza Sheikh mmoja kutoka Saudia kama sjakosea alikuwa akitoa mawaidha kwa kiingereza, alichosema yeye kama unajua unatenda dhambi na kuna ibada unatakiwa ufanye we fanya ibada, kama ni ibada ya sala kasali hata kama wewe ni mnywaji pombe hata kama ni mzinzi wewe katekeleze ibada hiyo, usiache kufanya ibada kwa kisingizio kuwa wewe ni muovu au kwa kisingizio wewe una lala na mtu bila ya kufunga ndoa au kwa kisingizio wewe ni muuaji, tekeleza ibada kwanza huezi jua inawezekana kupitia ile ibada kama ya kufunga au kusali mungu akafanya wepesi ukaamua kuacha zambi unazofanya. Cha umuhimu we Funga ila hizo zambi unazofanya pia jaribu kuacha kwani Mungu ni mwepesi wa kusamehe.MFUNGO UNAANZA LINI NA MIMI NIJITAHIDI KUFUNGA,,
NAWATAKIA MFUNGO MWEMA
SWALI;KWA MUME NA MKE WANOISHI PAMOJA BILA NDOA KWENYE MFUNGO HAPO INAKUAJE
Kama watu hawajafunga ndoa wanakuaje ni MKE na MUME???MFUNGO UNAANZA LINI NA MIMI NIJITAHIDI KUFUNGA,,
NAWATAKIA MFUNGO MWEMA
SWALI;KWA MUME NA MKE WANOISHI PAMOJA BILA NDOA KWENYE MFUNGO HAPO INAKUAJE
marekebisho, hakuna mume au mke bila ndoa so hao wanaishi pamoja pasipo ndoa wapo katika hasara kubwa saana maana wanachofanya ni kinyume na amri za Allah subahaa WataalaHawaruhusiwi kushiriki tendo la ndoa mchana ,wanaruhusiwa jioni baada ya kufungulia.
na kikaputula chako hiko!! serious?Ramadhan Kareem
Tumekuacha na mola wako lakin pia tunakukumbusha, huenda ikawa ni sababu ya wewe na mwingine kukumbuka, wala sio KUKUKOMOA bali ni UKUMBUSHO tu.Nimewatakia ramadhan njema yatosha!!!!!!!
Mengineyo mniachie na Mungu wangu
Kwaherini