Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
5Hivi leo ya ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5Hivi leo ya ngapi?
Ahsante ukhty[emoji8]
Neema za Allah's ziwe juu yako uwe sawa usivurugweAhsante ukhty[emoji8]
Huku nilipo yaani nimevurugwa kabisa!
Kwa sote ukhty. Amin ya rabbil alamiin [emoji2969][emoji2969][emoji2969]Neema za Allah's ziwe juu yako uwe sawa usivurugwe
JazakaAllah[emoji287]Masaa matatu kwa siku katika mwezi wa Ramadhani yasikupite kwa thamani yoyote ile ukiyahifadhi, nayo ni masaa matatu kwa idadi ya siku za Ramadhani yanakua kwa Jumla masaa (90) nayo ni kama yafuatavyo:[emoji287]
1- [emoji314]Saa moja wakati wa kufuturu hakika andaa futari yako mapema na ujipe faragha kwa ajili ya dua, kwasababu mwenye kufunga wakati wa kufungua kwake ana Dua ambayo hairudi patupu, jiombee mwenyewe na vipenzi vyako na waombee maiti wa kiislamu kwasababu wanahitaji kutoka kwako Dua.[emoji314]
2- [emoji314]Ama jisaa la pili: Ni mwisho wa usiku jipe faragha uwe pamoja na Allah kwasababu yeye ana ita akisema nani anaomba nimpe nani anayaka msamaha nimsamehe, na uzidishe katika usiku huo kwa kumuomba Allah msamaha.[emoji314]
3- [emoji314]Ama jisaa la tatu: Ni kukaa kwako baada ya swala ya Alfajiri katika mahali uliposwali ukifanya adhkar mpaka jua likachomoza kwasababu ni sawa na umra na hijja iliyo kamilika.[emoji314]
[emoji314]Haya ni masaa tisaini, na kua na pupa na wakati mwengine uliobaki wote kwa kumtaja Allah, na ujiepushe na usengenyaji kwasababu unamaliza thawabu zako, na weka azma isikupite swala ya faradhi na uchukue fursa ya kutekeleza Swala za sunna, kwasababu ni siku thalathini, na niharaka iliyoje tukijipata tukisema imeisha, Allahul Mustaan![emoji314]
[emoji314]Hata ukinuwia kueneza maneno hqta nuwia kwa ajili ya kheir, huenda Allah akakufariji kwa mazito katika mazito ya Dunia na Akhera[emoji314]
[emoji314]Na kumbuka: fanya kheir hata ukaiona ndogo vipi kwasababu hujui jema gani litakuingiza peponi[emoji314]
[emoji287] [emoji619]RAMADHAN MUBAARAK[emoji287] [emoji619]
Asalam alaykum mpendwa u hali gani?JazakaAllah
Wa'alyekum salam Nuzulati, unaendeleaje na mfungo?Asalam alaykum mpendwa u hali gani?
Naendelea vizuri mpendwaWa'alyekum salam Nuzulati, unaendeleaje na mfungo?
Inapendeza Nuzulati, Ramadhaan MubarakNaendelea vizuri mpendwa
Hapana ndugu yangu, jina langu ni hili hili na sio NdalichakoKwa sote.
User Id yako nadhani unaitwa Ndalichako