Babu wa Watu
Member
- Oct 31, 2021
- 72
- 165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufunga si kuacha kula tu, bali ni kujiepusha na maneno machafu na mambo yote aliyochukia Allah (swt). Ikiwa una tabia mbaya, sasa ni wakati wa kujizuia na kufanya mabadiliko mazuri milele. Achana na porojo, porojo, matusi, uwongo na kashfa. Fanya kila kitu ili kuhakikisha mfungo wako unakubalika na kuwa bora zaidi.Baadhi wanaswali wale waliiotangulia kufunga ila Mufti wa hapa Tz bars na Znbar hawajatangaza sikukuu mpk Kesho inshaAllahUpdates tafadhali _,
Leo tunaswali eid?
Saudia , Oman na nchi nyingine nyingi ila hapa haujatangazwa rasmi na baadhi leo wanaswali EidMwezi umeonekana wapi ndugu zangu?
Yote kheriWengine tupo viwanja vya Zakhiem Mbagala tunaswali
Wabillah tawfiq
Wa'aleykum salam warahmatullahi wabarakatuh.Asalam alykum warahma tullah wabarakatuh