Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Hlf ple ulipopata ajali sio maeneo yale ya scaba scuba?Assalam alleykum warhmatulah wabaraqatuh
Ndugu zangu mimi jumatatu nilipata ajali, alhamdulilah kiafya niko poa, ila upande wa uchumi siko poa ukizingatia bajaj yangu ndio ilikuwa kila kitu
Sasa kuna rafiki yangu, kwao mashallah amesema niwe naenda kufuturu kwao!
Kusema kweli nafeel shame hii imekaaje mana kwao ni extended family naombeni ushauri.