Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Ramadan Mubarak
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio unaweza lakini haitahesabika kama unafanya Ibada na kupata ujira wa funga kwani Moja wapo la sharti la kukubaliwa kwa ibada ni lazima mtu awe Muislamu.Ninaweza kufunga hata mimi nisie mu islam??
Kumbe muhammad ni muongo kuwa manaswara wa kweli ni waislamuNdio unaweza lakini haitahesabika kama unafanya Ibada na kupata ujira wa funga kwani Moja wapo la sharti la kukubaliwa kwa ibada ni lazima mtu awe Muislamu.
Huu ndiyo wasaa wa waislamu kula hadi kubeuwa....tusishangae vyakula kupanda bei mara dufu hawa waisiharamu siyo waislamu wao wanabadili tu muda wa kula ila wanakula zaidi ya mara dufu ya wanavyokula miezi isiyo ya RamadhanRAMADHAN MWEZI WA TWAA NA IBADA
Alhamdulillah khatimae tumeidiriki ramadhani msimu wa ibada na twaa
ALLAH AWABAARIK NYOTE KWA KUUPATA MWEZI HUU WENYE BARAKA TELE
ikiwa katika mji kuna msimu wa biashara au mavuno basi watu husika wa msimu huo huusubiri kwa mipango madhubuti na imara na kila muhisika atakae zembea kusimamia mipango yake kuonekana hana mana wala umakini na hayupo sawa kwani huenda msimu ujao asiudiriki
kwetu sisi ni zaidi ya msimu tupo katika nyakati za kutafuta radhi na msamaha wa mola mlezi ni jukumu la kila mmoja wetu kusimamia dhamira zake na athibiti katika mipango yake
UMEUANZA VIPI MSIMU HUU WA TWAA NA IBADA ?
Katika kutafuta ujira wa kumaliza quraan mara nne ndani ya mwezi huu ukiwa ndio mpango wetu leo tumesoma juzuu 4 je umeifikia dhamira hii
kwa wale ambao hawana uwezo wa kusoma quraan yote soma kiasi unachoweza kusoma pamoja na kurejea rejea hicho hicho kidogo kwa nia ya kusoma juzuu 4 kwa siku
Niwatakie mwezi wenye baraka kwenu na familia zenu na muwe na swaumu njema yenye uchangamfu wa ibada namuomba Allah atujaalie ikhlaswi katika juhudi zetu na atukubalie juhudi zetu chache tuzifanyazo
Abu fat'hiya khamis kiza
Shukrani mkuu kwa ukumbusho mzuri , ni sahihi kabisa hayo.Ndugu zetu Waislam....
Mkiwa mpo mnaendelea na Ibada hii ya funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mkumbuke kuwa kuna Mambo mnatakiwa mjiepushe Nayo.
Kama:-
1.Tabia Mbaya na maneno maovu Mfano wa kusengenya, kusema uongo n.k (Mwezi huu sana na baki ya miezi ).
2.Kulala sana kwani kulala huko kunatupotezea Fursa za kufanya Ibada ya Kusoma Qur an na Ibada Nyenginezo (Mwezi huu sana na baki ya miezi ).
3.Kupoteza wakati mwingi katika michezo na maongezi yasiyo na faida Vijiweni.
Kwa.....
Kucheza Bao, karata na kuacha kuutumia wakati huo katika kazi na ibada mbali mbali Mfano kuhudhuria Darsa Misikiti kipindi cha Swala ya Alasiri au kwa Mujibu wa Ratiba za Masheikh wasimamizi wa Darsa hizo (Mwezi huu sana na baki ya miezi ).
Kabisa mkuuNB : Kuna watu hawastahili kujibiwa na wa kuwapuuza tu kuepusha Shari na mengineyo yasiyo na msingi.