KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Umesahau kuweka namba ya simuKwa hakika Rais Samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anastahili pongezi kubwa sana kwa ushindi wa vijana hawa kutokana na namna ambavyo ameleta hamasa kubwa sana katika michezo ,ambapo imepelekea vijana kuongeza ubunifu na hamasa kubwa sana katika michezo .
Imepelekea vijana kuongeza mazoezi na kujituma kwa hali ya juu sana.hii ndio maana tunaona vijana hawa wakirudisha ushindi nyumbani.
Mnasahau hata kuwataja kwa majina yao hawa vijana mnamtaja mama ila dhambi mnazo mliona namna walivyo hatarisha maisha yao? Hata motoni hamuendiKwa hakika Rais Samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anastahili pongezi kubwa sana kwa ushindi wa vijana hawa kutokana na namna ambavyo ameleta hamasa kubwa sana katika michezo ,ambapo imepelekea vijana kuongeza ubunifu na hamasa kubwa sana katika michezo .
Imepelekea vijana kuongeza mazoezi na kujituma kwa hali ya juu sana.hii ndio maana tunaona vijana hawa wakirudisha ushindi nyumbani.
Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.
Duh aisee basi sawa bilioneaHongera zao, waendelee kujituma
Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
Kuna mwamba hapo anasema hizo ni ndogo sana.naziomba hizo hela
kumekucha!ahahhaKwa hakika Rais Samia mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anastahili pongezi kubwa sana kwa ushindi wa vijana hawa kutokana na namna ambavyo ameleta hamasa kubwa sana katika michezo ,ambapo imepelekea vijana kuongeza ubunifu na hamasa kubwa sana katika michezo .
Imepelekea vijana kuongeza mazoezi na kujituma kwa hali ya juu sana.hii ndio maana tunaona vijana hawa wakirudisha ushindi nyumbani.
Piga theluthi kodi hapoRamadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.