Ramadhani ile haipo

Ramadhani ile haipo

RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII

Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa katika kumbi.

Haya yalidumu kwa miaka mingi sisi tunazaliwa tumeyakuta na halikadhalika waliotuzaa sisi waliyakuta.

Rejea nyuma.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Leo Ramadhani hii haipo na pengine haitorejea hadi kiama.

Labda mtu atajiuliza.
Iliwezekanaje wakati ule?

Mtu anaweza pia kujiuliza ni kitu gani kimetokea kuondoa haya yote?

Naweka hapo chini picha iliyopigwa shambani kwa Sheikh Chaurembo Mtoni mwaka wa 1956 kwenye dua pamoja na majina ya waliohudhuria (mengine hayakupatikana).

Hawa walio kwenye picha hii ndiyo waliotuzaa sisi na waliipokea Ramadhani hii niliyoieleza hapa na imeondoka baadhi yao wakiwa hai.

Katika hawa wamo wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika:

1 Sheikh Hussein Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohamed I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Sheikh Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaurembo
13. Ahmed Mohamed
14. Al Amudy family
15. T.T. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...

Waliokaa vitini kulia:

1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya mtu
3. Salum A. Chaurembo (amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu (Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian.
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukok...
Kwa mawazo ya aina hii, ya ramadhani ileee, sishangai Zanzibar kuchapa wenzao bakora kisa ramadhani ambayo wachapwaji haiwahusu kwa nman yoyote ile. Tena ukizingati yanayofanya wachapwe, wanayafanyia ndani kwao
 
MZEE KAKIMBIA UZI
Labda hajamaliza uzi wake......atarudi na usishange Jumba bovu na lawama wakatupiwa wagalatia kuwa wamechangia ramadhan zao za sasa kutokuwa kama za zaman maana kwa lawama tu kwa wagalatia ahhh professor huyu!!
 
Kwa mawazo ya aina hii, ya ramadhani ileee, sishangai Zanzibar kuchapa wenzao bakora kisa ramadhani ambayo wachapwaji haiwahusu kwa nman yoyote ile. Tena ukizingati yanayofanya wachapwe, wanayafanyia ndani kwao

kwani mnakuja kufanya kitu gani huku , si mkae mle huko ugalitiani , hujatumwa uje huku otherwise watoto wa Mapadri msio malezi mtakula bakora tu
 
jaribu kula kula mchana huku kisiwani , yaani bara lote hujapata mahali pa kula mchana mpaka uje uwakere watu huku , kijana wewe ??
Hongera..!! Kwenu kumuua mwenzio kisa kueteta imani ni thawabu, wakati kwetu kufa wewe kisa kutetea imani ni neema..!! Mambo mawili tofauti hayo
 
Hongera..!! Kwenu kumuua mwenzio kisa kueteta imani ni thawabu, wakati kwetu kufa wewe kisa kutetea imani ni neema..!! Mambo mawili tofauti hayo

Kwani kauliwa nani kwa kula mchana ?? akili gani uliyonayo ??

Mnakosa ustaarabu mnataka kwenda kipunda mtaendeshwa kipunda.

Hapa kuna magoa wakristo, mabaniani, maparisi , mabuda wala hajawahipo kupigwa mtu kwani wanatuheshimu na tunawaheshimu , tatizo liko kwenu watoto wa Mapadri
 
Vyovyote iwavyo, ndivyo mlivyo.

Na itakuwa kwani mtakula mibungo vizurii mpaka mjifunze kuheshimu watu

Back
Top Bottom