Ramadhani ile haipo

Ramadhani ile haipo

Wacha kujipakazia , Nabii wako Tito yupo anakuambia unywe kama hivyo ulivyosema baadaye ulitoe sadaka boga
Na nyie kumbe mliambiwa mnywe na kula mbuzi katoliki maana kwa sasa kobazi na noah ni kama kyupi na tako
 
siyo ramadhani tu hata Christianity pia imeondolewa, Pasaka sikukuu muhimu kuliko zote kwenye Ukristo ndiyo siku wakaleta siasa za akina makonda wanahamishiwa sijui ukuu wa mkoa teuzi zinafanyika tena weekend walishindwa nini kusubiri after Easter? tena na umeme wakakata haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa republic yetu, hivyo ni satanism tu ndiyo mwelekeo wa kidunia sasa hivi …
Kweli dini ni ugonjwa wa akili?
 
RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII

Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa katika kumbi.

Haya yalidumu kwa miaka mingi sisi tunazaliwa tumeyakuta na halikadhalika waliotuzaa sisi waliyakuta.

Rejea nyuma.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.

Leo Ramadhani hii haipo na pengine haitorejea hadi kiama.

Labda mtu atajiuliza.
Iliwezekanaje wakati ule?

Mtu anaweza pia kujiuliza ni kitu gani kimetokea kuondoa haya yote?

Naweka hapo chini picha iliyopigwa shambani kwa Sheikh Chaurembo Mtoni mwaka wa 1956 kwenye dua pamoja na majina ya waliohudhuria (mengine hayakupatikana).

Hawa walio kwenye picha hii ndiyo waliotuzaa sisi na waliipokea Ramadhani hii niliyoieleza hapa na imeondoka baadhi yao wakiwa hai.

Katika hawa wamo wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika:


1 Sheikh Hussein Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohamed I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Sheikh Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaurembo
13. Ahmed Mohamed
14. Al Amudy family
15. T.T. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...

Waliokaa vitini kulia:

1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya mtu
3. Salum A. Chaurembo (amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu (Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian.
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukok...
Picha nzuri Sana hiyo ya kumbukumbu.

Bila shaka ilipigwa miaka ya 1954-58.
 
"Marriage is a sacrament between a man and a woman" hapo hujaskia au hujaelewa. Acha kuwa kama mtume wenu mjinga mjinga asiejua ata kusoma.

hao waliowaandikia injili , Marko na Mathayo hata kuandika walikuwa hawajui , injili ya mwanzo iliandikwa kwa kigiriki hata walikuwa hawajui , ushangae haya kwanza
 
Hapana ni aunt dully Ali maarufu jagina

Aunty uko much know

ongeza na hii

1712691011427.jpeg
 
Back
Top Bottom