Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie kumbe mliambiwa mnywe na kula mbuzi katoliki maana kwa sasa kobazi na noah ni kama kyupi na takoWacha kujipakazia , Nabii wako Tito yupo anakuambia unywe kama hivyo ulivyosema baadaye ulitoe sadaka boga
Na nyie kumbe mliambiwa mnywe na kula mbuzi katoliki maana kwa sasa kobazi na noah ni kama kyupi na tako
Ndo mambo yenu huko zenjibaa na mombahasa huku matombo hatujui hayoUkianguka na ulevi wako ujuwe utageuzwa kama Nabii wako Tito
Ndo mambo yenu huko zenjibaa na mombahasa huku matombo hatujui hayo
Njoo chukua kg moja zinauzwa hapa masjid Idrisa chini ya mti hapaUlipewa na padri wako ?
Wa wete pemba mchambawimaKwani Nabii wako Tito ni mzanzibari au ametoka Mombasa ??
Kweli dini ni ugonjwa wa akili?siyo ramadhani tu hata Christianity pia imeondolewa, Pasaka sikukuu muhimu kuliko zote kwenye Ukristo ndiyo siku wakaleta siasa za akina makonda wanahamishiwa sijui ukuu wa mkoa teuzi zinafanyika tena weekend walishindwa nini kusubiri after Easter? tena na umeme wakakata haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa republic yetu, hivyo ni satanism tu ndiyo mwelekeo wa kidunia sasa hivi …
Na watoto wa mashekhe akili zao ni kutatuana marinda kama yule afande ramaWatoto wa Mapadri akili yao yote ni kula kulewa na ngono , laana hii
Mambo gani sasa haya?fikeni mahala mbadilike dunia inabadilika hiiMohamed Said Uislam pole pole unaenda kuwa wa Kisasa😁
View attachment 2958166View attachment 2958167View attachment 2958168View attachment 2958169
😂😂😂😂😂We Mzee uokoke uachane na imani hiyo
Picha nzuri Sana hiyo ya kumbukumbu.RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII
Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa katika kumbi.
Haya yalidumu kwa miaka mingi sisi tunazaliwa tumeyakuta na halikadhalika waliotuzaa sisi waliyakuta.
Rejea nyuma.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa.
Leo Ramadhani hii haipo na pengine haitorejea hadi kiama.
Labda mtu atajiuliza.
Iliwezekanaje wakati ule?
Mtu anaweza pia kujiuliza ni kitu gani kimetokea kuondoa haya yote?
Naweka hapo chini picha iliyopigwa shambani kwa Sheikh Chaurembo Mtoni mwaka wa 1956 kwenye dua pamoja na majina ya waliohudhuria (mengine hayakupatikana).
Hawa walio kwenye picha hii ndiyo waliotuzaa sisi na waliipokea Ramadhani hii niliyoieleza hapa na imeondoka baadhi yao wakiwa hai.
Katika hawa wamo wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika:
1 Sheikh Hussein Mbegu
2...
3 Ania S. Chaurembo
4. Mohamed I. Chaurembo
5. Seif I. Kisesa.
6. Mohd R. Ngalawa
7. Sheikh Abdallah I. Chaurembo
8. Said Mahfuudh
9. Ali Issa.
10. Abdallah Sharif
11. Jumaane M. Mtemvu
12. Iddi A. Chaurembo
13. Ahmed Mohamed
14. Al Amudy family
15. T.T. Ahmed Mahmood
16. ...
17. Mahmood Ahmed
18. Juma Mzinga
19...
20...
Waliokaa vitini kulia:
1. Ali Mwinyi Halwa
2. Sharif Abdallah Mbaya mtu
3. Salum A. Chaurembo (amepakatwa)
4. Said O. Chaurembo
5. Said Hariz
6. Mzee Karama
7. Ramadhani Nasibu (Liwali Tabora)
8. J. K. Nyerere
9. Sheikh Ahmed Al Amuddy
10. Sheikh Athmani Mgaga.
11...
12. Sheikh Mzee bin Ally Comorian.
13. Mzee John Rupia
14...
15. Sharif Hussein Badawiy
16. Mzee Mgeni Ukok...
Eti Ulishaolewa na padri ?? Papa ameruhusu kuolewa
View: https://www.youtube.com/watch?v=B-noZKkmqIo&pp=ygUZcG9wZSBhbGxvd3MgZ2F5IG1hcnJpYWdlZQ%3D%3D
Na watoto wa mashekhe akili zao ni kutatuana marinda kama yule afande rama
"Marriage is a sacrament between a man and a woman" hapo hujaskia au hujaelewa. Acha kuwa kama mtume wenu mjinga mjinga asiejua ata kusoma.
Sawa aunt dullyNdiyo mafundisho ya Nabii wako Tito
itakuwa umefahamu aunty too much knowSawa aunt dully
Hapana ni aunt dully Ali maarufu jaginaitakuwa umefahamu aunty too much know
Hapana ni aunt dully Ali maarufu jagina