Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Wenyewe nani labda Yani kwa mfano Yani?
hao uliosema ambao si wakristo wakatoliki na hawamfuati papa anayekubali ndoa za jinsia moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenyewe nani labda Yani kwa mfano Yani?
Kumbe ndiyo mafundisho ya wakatoliki hayo ??Hapana, yule aloliwa na mbwa kule Medina. Alafu eti wanadai Yesu pia ni mtume wao. Alafu wanamdhihaki tena, viazi mbatata.
Bila kumpokea Yesu Kristo utaendekea kulalamika. Yesu ni njia, kweli na uzima, mtu haendi kwa Baba ila kwa njia ya Yesu tu.
Yesu Kristo Mwanza wa Mungu aliye hai
N
Nshakula sana, eti aliniambia subiri akishafturu saa moja usiku nami nikamfturu.
Bora sisi wasabato tunajielewa, huu ukatoliki ni unanuka maviWakristo ni wakatoliki. Hizo takataka zingine sijui evangelicals sijui upupu gani ndio nini? Ni nani labda? Wako wapi?
Mbona yako haijabarikiwa?
Umeukalia...Mbona yako haijabarikiwa?
Habari za maria, akati babu yangu ngumbo mi hazi nihusu😂🤣Watu wameanza kushtukia game hizi dini za kuletewa na wazungu na waarabu ni upuuzi mtupu
Ngoja waje wakupe haki yako ya kikatibaHabari za maria, akati babu yangu ngumbo mi hazi nihusu😂🤣
Yesu ndio Kila kitu.Hapa kuna nukuu zinazokanusha fundisho la kumkubali Yesu ili upate uzima wa milele:
1- Matendo 20:34-36 BHN - “Katika mambo yote niliyofanya, niliwaonyesha kwamba kwa kazi ya namna hii imewapasa kuwasaidia walio dhaifu, tukikumbuka maneno ya Bwana Yesu mwenyewe aliyosema, ‘Ni heri kutoa kuliko kupokea. '"
2- Mathayo 5:9-11 "Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; maana ufalme wa mbinguni ni wao."
3- Mathayo 5:8-10 "Heri wapatanishi; maana hao wataitwa wana wa Mungu."
4- Mathayo 5:5-7 "Heri wenye njaa na kiu ya haki; maana hao watashibishwa."
5- Mathayo 5:6-8 "Heri wenye rehema, maana hao watahurumiwa."
6- Mathayo 5:7-9 "Heri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu."
7- Mathayo 5:3-5 "Heri wenye huzuni maana hao watafarijiwa."
8- Mathayo 5:4-6 "Heri wenye upole maana hao watairithi nchi."
Sorry ni Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai
Sorry ni Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai
Naona Usha geuka snitch bob 😂😀Ngoja waje wakupe haki yako ya kikatiba
Eid Mubarak sheikh RamaNaona Usha geuka snitch bob 😂😀