Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana.

Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea ( Vatican).

Anasema Bi Khadija mke wa kwanza wa Prophet Muhammad ( Peace be upon him) alikuwa ni mtawa wa kikatoliki na shushushu wa Vatican ambae alipewa task na Vatican ya kusaidia kupatikana kwa kijana makini, smart, mwenye maadili mema wa kiarabu ili wamtumie kueneza Uislamu ambapo Bi Khadija alizipata sifa hizo kwa prophet Muhammad ( Peace Be Upon Him)


Alberto Rivera aliprove hoja yake kwa kutumia mifano mingi sana kama vile ufanano wa baadhi ya mambo kwenye ukatoliki na Uislamu kama vile : Architectures, idol worshiping etc.

( Hapo kwenye idol worshiping: Wakatoliki wanasujudia sanamu la Bikira Maria na kutumia vitu kama rosary waislamu wanabusu jiwe la kwenye Kaaba na kutumia vitu kama Tasbihi.

....

Kwanini Ramadhani na Kwaresma zinagongana miaka yote?.

Isije kuwa tunafuata kalenda ya miungu ya Rumi bila kujua kama tunafanya hivyo?



Haya bana


# Fateema is the name of the most favourite daughter of Prophet Muhammad ( Peace Be Upon Him)


In Catholic Fateema is a holy name attributed to a holy place in Portugal which is known as Fateema. ( Fatima) The place was named after Fateema, the favourite daughter of Prophet Muhammad Peace Be Upon Him.

Bikira Maria mama wa Yesu aliwatokea Lucia, Francis na Yasinta ( watoto wa Fatima Katika eneo liitwalo Fatima huko Portugal)

# Our Lady of Fatima Catholic Choir.


# In the Catholic Church, Maryam the mother of Jesus is venerated. In the Holy Quoran there is a complete chapter attributed to Maryam the mother of Jesus ( Suratul Maryam) . Mama wa Prophet Muhammad aliitwa Amina lakini hajapewa sura kwenye Qur'aan ila mama wa Yesu kapewa.


# Waislamu wanavaa Kanzu wakatoliki wanavaa Kanzu ( mapadri)


# wanawake wa kiislamu wanavaa baibui wanawake wa katoliki wanavaa baibui (masista)


# Mbona kama tunachezewa akili?
 
Vijana wa kiislam wa kibongo huwa hawataki kabisa kupanua ufahamu zaidi kuhusu dini yao waliyoikuta inaabudiwa na wazazi wao, hawataki kuwaza nje ya box, wanadhani mambo ndivyo yalivyo kwa jinsi walivyohubiriwa. Hawataki kufanya akili zao kuwa huru kuwaza na kutafuta ukweli wa mambo ya dini ndio maana husombwa na itikadi kali na chuki za kidini pasipo kuujua ukweli na ajenda zilizojificha ndani ya dini yao. Let them set free
 
Kwamba islam was created by Catholic?
 
Itakuwa Uislamu Ndo Umeanzisha Ukatoliki
kwa nijuavyo na ndivyo ilivyo Uislam upo toka enzi za Adam na ndio maana ufanyaji wa ibada za manabii wote zinafanana na Ufanyaji wa ibada wa mtume Muhammad S.A.W

Alafu acha kufananisha Sanamu na Al kaaba kwenye quran tumekatazwa kuabudia sanamu na bible imekatazwa kuabudia sanamu.
Alafu kila kanisa la katoliki duniani ndani lina sanamu ila sio kila msikiti una al kaaba
wewe ni Akili kisoda.
 
Wewe una amini Adamu na Hawa walikuwepo?
 
Ungeanza kufanya utafiti kuifahamu Ecclesiastical Calendar, yaani Kalenda ya Kanisa wala usingekuja na hizo consipiracy theories!
Hiyo Ecclesiastical calendar ni kwa ajili ya maamuma kama wewe Vatican wanafuata Lunar Calendar
 
Mbona kama wewe ndio upo high mwenzako katoa hoja zake umeshindwa kujibu hoja unatoa maneno ya kejeli

Wewe mwenye akili nyingi tusaidie kujua inakuwaje Kwaresma na Ramadhani ziangukie mwezi mmoja?
Mwezi wa kiisilamu Una siku 28 mpaka 29, mwezi wa kawaida siku 30 mpaka 31, roughly kila mwaka Ramadhan inapungua siku 10, mwaka huu imeanza tarehe 1 march, mwakani Itakua around tarehe 20 Feb, mwaka unaofuatia 10 Feb, baada ya miaka 15 Itakua mwisho wa mwaka etc.

, MTU anaejua waisilamu kwa hata miaka 5 tu anajua Ramadhani ina shift kila mwaka.
 
Sio hatutaki , kikubwa na kheri iliyopo katika Uislamu kwamba tumehimizwa kusoma na sio kupokea vitu Kikondoo ndio maana Alhamdulillah dini imehifadhiwa na tuna Imani thabiti juu ya dini yetu .

Yote sio kwa sababu tumezaliwa nayo , hapana bali tumetenga muda wetu kusoma mafundisho sahihi ya dini yetu kwa ufahamu sahihi na Muislamu yeyote atakayefuata njia ya Elimu hata babaishwa na propaganda zozote , wasiwasi na hizo so called contradictions.

Wanaopotea na kuyumbishwa ni wale waliokubali kuwa Waislamu tu Kisha wakaridhia bila kujishughulisha katika suala ya kutafuta elimu sahihi ya dini yao .
 
Hiyo Ecclesiastical calendar ni kwa ajili ya maamuma kama wewe Vatican wanafuata Lunar Calendar
Good! Turudi kwenye hiyo Lunar Calendar. Je, Kwaresma inakuwa wakati gani kupitia Lunar Calendar?
 
Kufuata Mambo ya Dini ni Utoto. Wacha utoto mkuu.

Nilikuwaga muislamu kuliko wewe.
 
Mbona kama wewe ndio upo high mwenzako katoa hoja zake umeshindwa kujibu hoja unatoa maneno ya kejeli

Wewe mwenye akili nyingi tusaidie kujua inakuwaje Kwaresma na Ramadhani ziangukie mwezi mmoja?
Hembu wewe tuambie inakuaje Kwaresma, Ramadhani, Naw-Ruz na Holi ziangukie mwezi mmoja??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…