Haufahamu soka la vilabu vya Africa wewe. Vilabu vyote vya Zimbabwe vimefikia walau robo fainali mara chache zaidi kuliko ilivyofikia Simba ya Tanzania pekee! Watu wengi mnashindwa kutofautisha mashindano ya vilabu na ya timu za taifaUoni zimbabwe ni majuu???
Sio sawa na mchangani bunju/boko
Simba ni taasisi wanazaliwa,wanakuja na kuondoka na simba itabaki kuwa simba
Haufahamu soka la vilabu vya Africa wewe. Vilabu vyote vya Zimbabwe vimefikia walau robo fainali mara chache zaidi kuliko ilivyofikia Simba ya Tanzania pekee! Watu wengi mnashindwa kutofautisha mashindano ya vilabu na ya timu za taifa
Yaan unamaanisha simba wataendelea kuwa wasindikizaji ktk Vpl????
Kila la kheri tasisi ya mchangani
te te te
Haya timu ya kimataifa, hongera kwa matokeo mazuri!Tanzania kuna timu ya mchangani na ya Kimataifa je waeza nitajia izo timu ndugu??
Nishirikishe mkuu cheko lako au unafurahia awa jamaa kuwa mchangani??
kiongozi umenichekesha sana ulivyonitajia hao jamaa wa mchangani
Nasubiri utolee ufafanuzi matokeo ya mechi za timu ya 'kimataifa'. Mbona ulikuwa mwepesi sana lakini ghafla umepotea?Naona na mzungu wao anawapa mazoezi ya kupaa mikono km vile watoto wa primary wakikosea wanaambiwa piga magoti mikono juu,
Kweli wa mchangani
mm shabiki wa simba haimaanishi nishabikie inapokosea. kwann walishindwa kufikisha bizibitisho tff had tff wakatangaza messi ni mchezaji huru. hii inaonesha simba walianya ujanjaujanja acha aende
Nasubiri utolee ufafanuzi matokeo ya mechi za timu ya 'kimataifa'. Mbona ulikuwa mwepesi sana lakini ghafla umepotea?
Messi Ninayemjua Mimi Ni Mmoja Tu Na Yupu Argentina Na FC Barcelona Na Acheni Kumfananisha Lionel Messi Na Uozo Wenu Huu Tafadhalini.
Simba ni taasisi wanazaliwa,wanakuja na kuondoka na simba itabaki kuwa simba
Messi Ninayemjua Mimi Ni Mmoja Tu Na Yupu Argentina Na FC Barcelona Na Acheni Kumfananisha Lionel Messi Na Uozo Wenu Huu Tafadhalini.
mm shabiki wa simba haimaanishi nishabikie inapokosea. kwann walishindwa kufikisha bizibitisho tff had tff wakatangaza messi ni mchezaji huru. hii inaonesha simba walianya ujanjaujanja acha aende
AMEPEWA 50milioni na mshahara wake utakuwa milioni 2 kwa mwezi amesaini mkataba wa miaka miwili