Ramadhani Singano amwaga wino Azam FC

Ramadhani Singano amwaga wino Azam FC

Uoni zimbabwe ni majuu???

Sio sawa na mchangani bunju/boko
Haufahamu soka la vilabu vya Africa wewe. Vilabu vyote vya Zimbabwe vimefikia walau robo fainali mara chache zaidi kuliko ilivyofikia Simba ya Tanzania pekee! Watu wengi mnashindwa kutofautisha mashindano ya vilabu na ya timu za taifa
 
Tanzania kuna timu ya mchangani na ya Kimataifa je waeza nitajia izo timu ndugu??
 
Haya timu ya kimataifa, hongera kwa matokeo mazuri!

attachment.php
 
kiongozi umenichekesha sana ulivyonitajia hao jamaa wa mchangani

Naona na mzungu wao anawapa mazoezi ya kupaa mikono km vile watoto wa primary wakikosea wanaambiwa piga magoti mikono juu,
Kweli wa mchangani
 
mm shabiki wa simba haimaanishi nishabikie inapokosea. kwann walishindwa kufikisha bizibitisho tff had tff wakatangaza messi ni mchezaji huru. hii inaonesha simba walianya ujanjaujanja acha aende
 
Nasubiri utolee ufafanuzi matokeo ya mechi za timu ya 'kimataifa'. Mbona ulikuwa mwepesi sana lakini ghafla umepotea?

attachment.php

mm shabiki wa simba haimaanishi nishabikie inapokosea. kwann walishindwa kufikisha bizibitisho tff had tff wakatangaza messi ni mchezaji huru. hii inaonesha simba walianya ujanjaujanja acha aende

Hongera kwa ilo mkuu,wewe ni mwanamichezo bora na si kanjanja kabisa
 
Messi Ninayemjua Mimi Ni Mmoja Tu Na Yupu Argentina Na FC Barcelona Na Acheni Kumfananisha Lionel Messi Na Uozo Wenu Huu Tafadhalini.

Naona leo jina mlilompa la Messi mnalifuta baada ya kuhamia Azam?
 
Simba ni taasisi wanazaliwa,wanakuja na kuondoka na simba itabaki kuwa simba

Mtabaki kuzalisha tu.... huku wenzenu wanachukua bure na kung'ara nao kimataifa.

Nyie ni kama akademi fulani / au kikosi cha MABORESHO cha timu za ligi Kuu Tanzania bara.
 
AMEPEWA 50milioni na mshahara wake utakuwa milioni 2 kwa mwezi amesaini mkataba wa miaka miwili
 
mm shabiki wa simba haimaanishi nishabikie inapokosea. kwann walishindwa kufikisha bizibitisho tff had tff wakatangaza messi ni mchezaji huru. hii inaonesha simba walianya ujanjaujanja acha aende

Kungekuwa na mashabiki wa Ukweli 10 hivi kama wewe basi ingependeza sana.

Nakupa BigUp kijana!
 
AMEPEWA 50milioni na mshahara wake utakuwa milioni 2 kwa mwezi amesaini mkataba wa miaka miwili

Mashabiki wa Simba sc walitaka Singano abaki Simba ili aendelee kulipwa laki8 kwa mwezi.

Heti kwa sababu tu.. Amekulia na kukuza kipaji chake pale Simba.

Aisee haya mashabiki ni majinga sana. Yaani hayajui kwamba soka Ni biashara sasa.
 
kwani huyu dogo hana malengo ya kucheza ulaya au?
 
Back
Top Bottom