kuzeni kipaji chake huku mnampa stahiki zake basi, sio kuchakachua mikataba na kumdhulumu pesa za nyumbaKweli hakina faida, ila anajichimbia kaburi la kipaji chake
Kama malengo yake ni hela tu bila kukuza kipaji chake na kufikia sehemu tukamsifu kama Samata namuunga mkono