Ramadhani Singano amwaga wino Azam FC

Ramadhani Singano amwaga wino Azam FC

Kweli hakina faida, ila anajichimbia kaburi la kipaji chake

Kama malengo yake ni hela tu bila kukuza kipaji chake na kufikia sehemu tukamsifu kama Samata namuunga mkono
kuzeni kipaji chake huku mnampa stahiki zake basi, sio kuchakachua mikataba na kumdhulumu pesa za nyumba
 
Kweli hakina faida, ila anajichimbia kaburi la kipaji chake

Kama malengo yake ni hela tu bila kukuza kipaji chake na kufikia sehemu tukamsifu kama Samata namuunga mkono
Wewe unadhani dogo angechezaje mpira uwanjani huku akiwa na stress kibao kichwani.
Singano angebaki simba msimu huu asingecheza kwa furaha.
 
Siyo kweli, Dogo kaomba mwenyewe kuachwa, amepata shamba jipya. Muache akajaribu maisha pengine, chuki haijengi ndugu zangu, hata sisi ambao siyo wachezaji mpira uwaga tunabadilisha kazi kufuata changsmoto nyingine.
Ukweli mtupu
 
Wewe kichwa kubwa ni wapi nimeonyesha chuki hapo
 
Back
Top Bottom