kuzeni kipaji chake huku mnampa stahiki zake basi, sio kuchakachua mikataba na kumdhulumu pesa za nyumbaKweli hakina faida, ila anajichimbia kaburi la kipaji chake
Kama malengo yake ni hela tu bila kukuza kipaji chake na kufikia sehemu tukamsifu kama Samata namuunga mkono
Wewe unadhani dogo angechezaje mpira uwanjani huku akiwa na stress kibao kichwani.Kweli hakina faida, ila anajichimbia kaburi la kipaji chake
Kama malengo yake ni hela tu bila kukuza kipaji chake na kufikia sehemu tukamsifu kama Samata namuunga mkono
kuzeni kipaji chake huku mnampa stahiki zake basi, sio kuchakachua mikataba na kumdhulumu pesa za nyumba
Wewe unadhani dogo angechezaje mpira uwanjani huku akiwa na stress kibao kichwani.
Singano angebaki simba msimu huu asingecheza kwa furaha.
Teh tehHuyu dogo soka lake ndo limeishia hapo
Hakika ni kweliSimba ni taasisi wanazaliwa,wanakuja na kuondoka na simba itabaki kuwa simba
Huyu dogo soka lake ndo limeishia hapo
Siyo kweli, Dogo kaomba mwenyewe kuachwa, amepata shamba jipya. Muache akajaribu maisha pengine, chuki haijengi ndugu zangu, hata sisi ambao siyo wachezaji mpira uwaga tunabadilisha kazi kufuata changsmoto nyingine.Dogo katemwa sasa
Ukweli mtupuSiyo kweli, Dogo kaomba mwenyewe kuachwa, amepata shamba jipya. Muache akajaribu maisha pengine, chuki haijengi ndugu zangu, hata sisi ambao siyo wachezaji mpira uwaga tunabadilisha kazi kufuata changsmoto nyingine.
Siyo kweli, Dogo kaomba mwenyewe kuachwa, amepata shamba jipya. Muache akajaribu maisha pengine, chuki haijengi ndugu zangu, hata sisi ambao siyo wachezaji mpira uwaga tunabadilisha kazi kufuata changsmoto nyingine.
Wachangiaji wengi wanaonyesha chuki na dogo kuhama timu, hasa wale wa Kilomoni FcWewe kichwa kubwa ni wapi nimeonyesha chuki hapo
Wachangiaji wengi wanaonyesha chuki na dogo kuhama timu, hasa wale wa Kilomoni Fc
Mbona habari za chini ya carpet ni kwamba anarudi Msimbazi? Na keshamalizana nao, wacha atafute malishp mapya, hiyo ni kazi kama nyingine mkuuSio chuki ni ukweli mchungu