Ramadhani Singano amwaga wino Azam FC

Ramadhani Singano amwaga wino Azam FC

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,229
Reaction score
610
Wanajamvi naombeni kuwajulisha kuwa Messi wa Tanzania amemwaga wino Chamazi, hongera kijana.

Nawaletea habari katika picha.
attachment.php

Ramadhani Singano 'Messi wa Tanzania' wakati akimwaga wino Chamazi

attachment.php

 

Attachments

  • Mesi.jpg
    Mesi.jpg
    14.4 KB · Views: 3,649
  • Mm.jpg
    Mm.jpg
    48.9 KB · Views: 3,252
OK NIMEFURAHI KWA KUWA MMESEMA messi wa Tanzania
 
Mkataba Wa Azam Ameusoma Nao Vizuri? Hicho Kitoto Ni Kinafiki Sijapata Kuona. Tunajipanga Kwenda Kwake Kuchukuwa Ile Gari Na Pikipiki.
 
Azam Bhana!

Hebu Angalieni Kwa Umakini Sana Simu Ya Huyo Kiongozi Wa Azam Aliyevaa Kofia ILIVYOCHOKA Na KUCHAKAA. Halafu Tunaambiwa Eti Ni Timu Ya Matajiri.

Hata Mimi Ngumbaru ( Masikini ) Siwezi Kuwa Na Simu Ya Hovyo Iliyolika / Kuchakaa Kila Pembe.
 
Huyu dogo soka lake ndo limeishia hapo

Liishe Mara Ngapi Mkuu? Tunakwenda Kubana Kila Pembe Na Mechi Kati Ya Simba Na Azam Tutampa Kazi Maalum Beki Muhuni, Mbabe Na Fundi Mganda Juuko Murshid ATUPELEKEE Mtu SEWAHAJI au MWAISELA Muhimbili Mguu au Mbavu Zikaning'inizwe Kwa Muda Wa Mwaka Mzima.
 
Yanga moja, Yanga mbele, Yanga ushindi, yanga oyeeeeee! Hawa wengine wacha watangetange tu
 
Messi ana haki ya kwenda popote kucheza maana mpira ni kipaji chake, kazi yake na maisha yake.
Lakini ameondoka vibaya Msimbazi, na badala ya kugombana na viongozi amelazimisha kugombana na wapenzi mashabiki na wanazi wa Simba. Hakuwa na washauri wazuri.

Ina maana Simba haijawahi kumtendea jema hata moja kwa kipindi chote alichoitumikia?
 
Back
Top Bottom