Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
-
- #281
Mfano hii hapa ni simba dumu ya gauge 32Je? Nitajuaje kua hii Gauge 28 na sio G30?
Asante
safi sana sijawahi kukagua hiiMfano hii hapa ni simba dumu ya gauge 32View attachment 2891631
Msingi kama msingi kwa nyumba za chini (sio za ghorofa) inashauriwa kina chake kisiwe chini ya futi 3 kutokea chini mpaka juu ya level ya mkanda. Kutokea kwenye usawa wa ardhi yaani ground floor mpaka juu ya mkanda atleast urefu uwe ni futi moja na nusu (kwa hivyo juu ya ardhi zitokee walau kozi mbili ndipo ufunge mkanda, ukiweza weka hata kozi tatu). Na kutokea usawa wa ardhi kwenda chini ya msingi angalau kina kiwe ni futi 2 au zaidi sawa na kozi 3 kama utatumia tofali za nchi 6ikiwa plot iko level tu.... pasi na Mabonde... Inashauriwa Msingi uwe na Kozi ngapi za Matofali? Njia gani rahisi ya kuepuka Gharama za Kujaza Kifusi ndani ya Msingi?
kuna jamaa anachambua pale youtube nyumba ya room 3 sebule dining jiko stoo public toilet ukiw na 10M unafikisha kupaua .. kuna uhalisia apa kwel?Msingi kama msingi kwa nyumba za chini (sio za ghorofa) inashauriwa kina chake kisiwe chini ya futi 3 kutokea chini mpaka juu ya level ya mkanda. Kutokea kwenye usawa wa ardhi yaani ground floor mpaka juu ya mkanda atleast urefu uwe ni futi moja na nusu (kwa hivyo juu ya ardhi zitokee walau kozi mbili ndipo ufunge mkanda, ukiweza weka hata kozi tatu). Na kutokea usawa wa ardhi kwenda chini ya msingi angalau kina kiwe ni futi 2 au zaidi sawa na kozi 3 kama utatumia tofali za nchi 6
Ndio, uwezekano upo inategemea na namna ya ujenzi lakini na bei pamoja na aina za material yaliyotumika maana boma pekee material cost inarange kwenye 7milion to 8M..mfano wengine mkanda wa chini hawaweki kwa hivyo kuna saving anakuwa amefanyakuna jamaa anachambua pale youtube nyumba ya room 3 sebule dining jiko stoo public toilet ukiw na 10M unafikisha kupaua .. kuna uhalisia apa kwel?
kwa maana hiyo nyumba ya standard room 3 sebule dining n.k 10M inatosha boma kabisa mpaka ela ya fundiNdio, uwezekano upo inategemea na namna ya ujenzi lakini na bei pamoja na aina za material yaliyotumika maana boma pekee material cost inarange kwenye 7milion to 8M..mfano wengine mkanda wa chini hawaweki kwa hivyo kuna saving anakuwa amefanya
Hakuna kitu kma hiikwa maana hiyo nyumba ya standard room 3 sebule dining n.k 10M inatosha boma kabisa mpaka ela ya fundi
kuna jamaa anachambua pale youtube nyumba ya room 3 sebule dining jiko stoo public toilet ukiw na 10M unafikisha kupaua .. kuna uhalisia apa kwel?
uhalisia upoje?Hakuna kitu kma hii
Tumia bila shaka MkuuMkuu nina tofali za inch 5, je ninaweza tumia kujengea msingi wa nyumba ya vyumba vinne? Au ni lazima nikomae nitumie tofali za nchi 6, maana tatizo bajeti yangu nayo haipo sawa...eneo ni flat na lina nature ya kichanga
Hapana, hiyo ni material tu..tena hapo ubane bane sana (mfano mkanda wa chini utumie nondo 3 badala ya 4, mawe kwemye msingi uachane nayo n.k)kwa maana hiyo nyumba ya standard room 3 sebule dining n.k 10M inatosha boma kabisa mpaka ela ya fundi
Tumia tu hizo hizo japo ungetumia za nchi 6 ingekuwa vyema zaidi, kwanza ungejenga kozi chache kulinganisha na tofali za 5 kwa kina kile kile cha msingiMkuu nina tofali za inch 5, je ninaweza tumia kujengea msingi wa nyumba ya vyumba vinne? Au ni lazima nikomae nitumie tofali za nchi 6, maana tatizo bajeti yangu nayo haipo sawa...eneo ni flat na lina nature ya kichanga
Chukulia mfano tofali ni 3500 (hapo tayari 3.5M), chukua cement za kujengea mifuko 70 (hiyo ni 1,225,000/=), nondo 50 mkanda wa chini na wa juu (hiyo ni 1,300,000/=) mpaka hapo ni almost 6M+...bado kokoto, mchanga na vitu vitu vingine (ukija kwenye kupaua napo kuna shughuli, bati tu kama bati unaacha 2M+, bado mbao n.kuhalisia upoje?
Shukrani mkuu ngoja nijikaze kidogo nianze na msingi kwanzaTumia bila shaka Mkuu
Ntatumia za nchi 5 tu mkuu,maana nikichek cost yake ndogo, afu kuhusu idadi ya kozi sitegemei kama ntaenda kozi zaid ya sita kwenye msingiTumia tu hizo hizo japo ungetumia za nchi 6 ingekuwa vyema zaidi, kwanza ungejenga kozi chache kulinganisha na tofali za 5 kwa kina kile kile cha msingi