Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

Katika milango ya mbao, ni vyema ukatumia bawaba 3 (juu,kati, na chini) badala ya kuweka bawaba 2 (juu na chini) ili kuongeza flexibility ya mlango

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Mbali na kupendezesha nyumba, scatting/skirting tiles pia huzuia kuta kuchafuka pindi mtu anapodeki sakafu.
Tumia scatting tiles za urefu wa futi 2 kwa upana wa at least nchi 4, achana na habari za kuchonga floor tiles (ni ngumu kupata vipande vinavyolingana size)

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Wakuu,samahani kwa kuvamia uzi,nina Banda la square meter 116. Naomba kusaidiwa idadi ya bati za kufunika paa lake ,ni ramani ile ya kona kona .siyo mtaalamu sana msaada
 
Ata hapa hapa sio mbaya
Screenshot_20240616-153751.png
 
Wakuu,samahani kwa kuvamia uzi,nina Banda la square meter 116. Naomba kusaidiwa idadi ya bati za kufunika paa lake ,ni ramani ile ya kona kona .siyo mtaalamu sana msaada

Mkuu makadirio ya roof area niliyopata kutokana na ramani hiyo ni square meter 165.2
(Actual ni 157.33m² +5% tolerance = 165.2m²). Angalia picha hapo chini ina details zaidi
roof jf 2.png
jf roof take off.jpg
 
Kama paa lako litakuwa na mlalo (roof pitch) mkubwa, jenga kozi 4 juu ya mkanda wa juu. Mlalo wa paa ukiwa mkubwa, overhang ya bati inazificha kozi moja na nusu mpaka kozi mbili kwa hivyo ili zibaki kozi mbili zinazoonekana itabidi ujenge kozi 4

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Mkuu makadirio ya roof area niliyopata kutokana na ramani hiyo ni square meter 165.2
(Actual ni 157.33m² +5% tolerance = 165.2m²). Angalia picha hapo chini ina details zaidi
View attachment 3018986View attachment 3018987
Nimeona kiongozi na ramanj ya roof iko hivyo hivyo . Nilichokuwa naomba ni idadi ya bati zinazotosha kufunika hilo Banda. Na nashukuru kwa ushauri wa kuweka kozi nne baada ya Renta
 
Back
Top Bottom