Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

Nimeona kiongozi na ramanj ya roof iko hivyo hivyo . Nilichokuwa naomba ni idadi ya bati zinazotosha kufunika hilo Banda. Na nashukuru kwa ushauri wa kuweka kozi nne baada ya Renta
Mkuu generally roof inakuwa rated kwenye area, sasa ukitaka kujua ni bati ngapi au vigae vingapi utatumia inategemea na dimensions za bati utakazo chagua kutoka kwa manufacturer. kwa mfano kwenye picha hapo chini ukichagua bati la picha namba:

Picha namba moja
Chukua Upana wa bati baada ya kuezeka = 0.762m
Mfano Urefu wa bati = 3m
Area ya bati = 0.762x3= 2.286m²

Idadi ya bati = Area ya roof ÷ Area ya bati
= 165.2÷2.286
= 72.3 ~ 73
Bati 73

Ukienda kwa hesabu hiyo juu utapata

Picha namba mbili = bati 68
Picha namba tatu = bati 55
Picha namba nne= bati 61

FB_IMG_1718699297139.jpg
 
View attachment 3019898
Ubarikiwe sana kiongozi picha namba nne ni nzuri zaidi.umekata kiu yangu Mungu akutangulie katika majukumu yako.
Mkuu generally roof inakuwa rated kwenye area, sasa ukitaka kujua ni bati ngapi au vigae vingapi utatumia inategemea na dimensions za bati utakazo chagua kutoka kwa manufacturer. kwa mfano kwenye picha hapo chini ukichagua bati la picha namba:

Picha namba moja
Chukua Upana wa bati baada ya kuezeka = 0.762m
Mfano Urefu wa bati = 3m
Area ya bati = 0.762x3= 2.286m²

Idadi ya bati = Area ya roof ÷ Area ya bati
= 165.2÷2.286
= 72.3 ~ 73
Bati 73

Ukienda kwa hesabu hiyo juu utapata

Picha namba mbili = bati 68
Picha namba tatu = bati 55
Picha namba nne= bati 61

View attachment 3019898
Barikiwa sana kaka
 
Katika upauaji, ni vizuri mbao za fascia board ukazipigilia kabisa kabla hujapigilia bati.

Ukisema upige bati kwanza kabla ya fascia board, itakuwa ni vigumu mtu kupigilia misumari juu na chini kutokana na ile sehemu ya bati iliyozidi kuzuia na pia ni hatari kwa mpigiliaji kwani anaweza akakatwa na hizo bati wakati anapigilia

NB: Mbao za fascia board ni zile mbao pana ambapo mkingio wa maji ya mvua huwa unapigiliwa

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Wakati mwingine wadudu kama mijusi katika nyumba hupitia katika matundu ya gympsum board za nje (dulvents/ventilation boards).

Ni vyema nje ukatumia PVC board, hizi haziathiriwi na hali ya hewa ya nje kama vile unyevu nyevu, joto n.k na pia haziruhusu wadudu kama mijusi na wengineo kuingia ndani ya nyumba kwa kuwa zenyewe hazina matundu

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Aiseee vzr sana, leo umenipa elim7 nyingine.... Mimi ni mechanical engineer, huwa nafanya plumbing(sewage and clean water) , lakin majengo mengi ambayo nimefanya design, nilikuwa naweka maji ya jikon direct kwenye septic, although nilikuwa najenga septic and soak
Aiseee vzr sana, leo umenipa elim7 nyingine.... Mimi ni mechanical engineer, huwa nafanya plumbing(sewage and clean water) , lakin majengo mengi ambayo nimefanya design, nilikuwa naweka maji ya jikon direct kwenye septic, although nilikuwa najenga septic and soak away kwa pamojaa...
Mkuu acha uongo mechanical eng.hafanyi hizo kazi labda wewe ni environmental eng.
away kwa pamojaa...
 
Kubali kuingia gharama zaidi ili kupata msingi imara. Msingi ukiwa imara, jengo litadumu muda mrefu bila kuleta shida yoyote.

(i) Tumia tofali imara, ukipata tofali zilizowekwa vikokoto itakuwa bora zaidi

(ii) Usiunge kuta mbili ambazo zinatofautiana vina (depth), tumia nguzo za zege na ringi zake weka karibu karibu kuongeza uimara

(iii) Jaza kifusi chenye mawe mawe, usitumie kifusi cha udongo wa mfinyazi

(iv) Hakikisha visiki vyote unavitoa kwa kuving'oa na sio kuvikata

(v) Usitumie maji ya chumvi katika ujenzi, maji utakayotumia katika ujenzi yawe ni maji ambayo mtu anaweza kuyanywa

(vi) Itaendelea....

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Ili kuepuka mbao zako kuliwa na wadudu wa mbao, hakikisha mbao zote utakazotumia katika upigiliaji wa dari, upauaji n.k ziwe ni mbao za dawa, kama utakuwa na mashaka na dawa iliyotumika unaweza ukanunua dudu killer ukapaka kwenye mbao zako

hizi dawa wanasema hamna kitu
 
hizi dawa wanasema hamna kitu
Ni kweli, siku hizi biashara nyingi zimekuwa na usanii mwingi, yote hayo ni katika tamaa ya kumaximize profit.
Wapo wanaopaka rangi za ukili ili mteja ajue kwamba mbao zimewekwa dawa kumbe dawa haijawekwa, lakini pia wapo waaminifu (japo hawa nao wamebaki wachache). Hapo mtu ni kuongeza umakini vinginevyo unakula hasara mara mbili.
Wadudu wa mbao wakivamia mbao ambazo hazina dawa, wala hawachukui muda maana wale wanakula mbao muda wote mpaka usiku wa manane
 
Katika ulazaji wa nondo za slab, mafundi wengi huwa hawazingatii mpangilio wa nondo ndio maana wakati mwingine slab nyingi katika majengo zinashuka

Katika slab, kuna nondo fupi (Main bars) na nondo ndefu (Distribution bars). Nondo ndefu zinatakiwa zilale juu ya nondo fupi

Mfano kama slab yako ina mita 2 kwa mita 3, nondo za mita 2 zinatakiwa zilazwe chini, nondo za mita 3 zinatakiwa zilazwe juu

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Kubali kuingia gharama zaidi ili kupata msingi imara. Msingi ukiwa imara, jengo litadumu muda mrefu bila kuleta shida yoyote.

(i) Tumia tofali imara, ukipata tofali zilizowekwa vikokoto itakuwa bora zaidi

(ii) Usiunge kuta mbili ambazo zinatofautiana vina (depth), tumia nguzo za zege na ringi zake weka karibu karibu kuongeza uimara

(iii) Jaza kifusi chenye mawe mawe, usitumie kifusi cha udongo wa mfinyazi

(iv) Hakikisha visiki vyote unavitoa kwa kuving'oa na sio kuvikata

(v) Usitumie maji ya chumvi katika ujenzi, maji utakayotumia katika ujenzi yawe ni maji ambayo mtu anaweza kuyanywa

(vi) Itaendelea....

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Mkuu heshima kwako.
1. Slab ya 31.5msq kuna haja ya kuweka nguzo za nondo ya 16mm? Inabeba chumba kimoja kikubwa cha kulala tu
2. Naomba kujua idadi ya nondo na saruji kuweka slab ya 31.5msq (4.5X7)
 
1. Kwa upande wa nguzo, nondo za milimita 16 ndio minimum size (kima cha chini)...inatakiwa utumie nondo za milimita 16 na kuendelea, nguzo ndio kama miguu ya jengo lenyewe

Mfano tukipiga hesabu ya uzito wa hiyo slab pekee, uzito wake ni 7mX4.5mX0.125mX2400Kg/m³ = 9450Kg sawa na tani 9.45 (na hii ni uzito wa zege tu peke yake, hatujapigia hesabu uzito wa nondo zake)

Huo uzito sasa ndio unajigawa katika nguzo zote (japo asilimia chache ya uzito utabebwa na kuta)
 
Asante sana mtalaamu
 
Ukichukua marine board moja ukaichana vipande vya 20cm, utapata vipande 6 vya futi nane nane.

Marine board moja ya milimita 12, bei yake ni kati ya 40,000 mpaka 45,000. Mashineni kuchana njia moja ni Tsh 200/=, Tsh 200 x njia 5 = Tsh 1,000 (Jumla 46,000/=)
(Unaweza ukanunua na mbao 2 za 2x2 ukapigilia vipande sehemu ambazo utakuwa unafunga kabali zako)

Mbao moja ya upana unaofanana na hivyo vipande vya marine board ulivyovikata (20cm sawa na 1x8 ya futi 12) inauzwa +/-13,000/= kwa hivyo 13,000x6 jumla ni sawa na 78,000/=

Tofauti 78,000 - 46,000 = 32,000/= (Saved)

Kama ni kwa matumizi ya mkanda (beam), mbao sita zitacover mita 10.8, marine moja itacover mita 7.2

Mbali na hizo njia mbili hapo juu, option nyingine ambayo ni nafuu ni kukodi mbao zilizotumika ambapo kukodi mbao moja ni kati ya 1,500 mpaka 2,000 (2000x6=12,000/=). Kawaida muda wa matumizi huwa wanatoa siku 3, kwahivyo mfano ukikodi jumamosi, jumanne asubuhi inatakiwa urudishe

Daaah, safi sana
 
Kabla ya kufanya manunuzi ya vifaa vya ujenzi, pendelea kuulizia bei ya vitu tofauti tofauti sehemu mbali mbali

Wakati mwingine unakuta kuna utofauti wa bei kwa zaidi ya Tsh 1000 na zaidi kwa kila bidhaa, ambapo kama idadi ya bidhaa utakazonunua itakuwa kubwa utajikuta umepoteza elfu moja nyingi ambazo ungeweza kufanyia manunuzi ya vifaa vingine na kupunguza gharama za ujenzi.

Ukishafanya hili zoezi utakuwa unajua duka no 1 utakuwa unanunua bidhaa flani mfano misumari na mbao, duka no 2 utakuwa unanunua labda tofali na cement, duka no 3 utakuwa unanunua nondo n.k kutokana na bei ulizozifanyia utafiti hapo kabla

Mfano unaweza ukakuta duka moja wanauza misumari Tsh 3000/kg lakini duka lingine wanauza Tsh 4000/kg.

Kama hukufanya research ya bei za vitu, huu utofauti wa bei utakuja kuugundua siku ambayo umeenda duka ulilozoea kununua lakini ukakuta wamefunga au wamechelewa kufungua na kuamua kwenda kununua bidhaa duka lingine (kama ndio unamalizia ujenzi, utajilaumu sana kwa kutogundua hili suala mapema)

Nina ujenzi kijijini, nikanunua vigae mjini kama km 300 hivi bila kufanya utafiti wa nauli. Kuja kusafirisha najikuta naingia gharama kubwa na muda bora ningenunua kulekule tu.
Utafiti wa bei na associated costs ni muhimu
 
300Km ni nyingi mkuu, hata kama kungekuwa na upungufu wa Tsh 100,000/= ni bora tu ungenunulia huko huko ulipo maana kusafirisha hivyo vigae kwa huo umbali unaweza ukafika site ukakuta vigae vilivyovunjika hasara yake inazidi hiyo pesa uliyoisave, ukajikuta unaingia hasara zaidi

Utafiti niliouzungumzia hapa ni kwenye maduka ambayo yapo karibu, umbali utakaoweza kutembea tu kwa mguu kufanya huo utafiti, hata gharama ya kusafirisha hizo bidhaa kwenda site inakuwa ni moja. Kama maduka yapo mbali, inabidi uangalie na hizo extra cost zingine kama usafiri n.k
 
Ni vizuri ukatumia mchanga ambao rangi yake haitokuwa inafanana sana na rangi ya cement, ili iwe rahisi kujua kama mchanga wako na cement vimechanganyikana vizuri kabla ya kuweka maji.

Katika zoezi la uchanganyaji wa udongo (mortar) au zege, huwa tunaanza kuchanganya mchanga na cement vikiwa vikavu, baada ya kuchanganyika vizuri ndipo tunaweka maji

Back
Top Bottom