Elon Mzebuluni
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 225
- 139
Mkuu generally roof inakuwa rated kwenye area, sasa ukitaka kujua ni bati ngapi au vigae vingapi utatumia inategemea na dimensions za bati utakazo chagua kutoka kwa manufacturer. kwa mfano kwenye picha hapo chini ukichagua bati la picha namba:Nimeona kiongozi na ramanj ya roof iko hivyo hivyo . Nilichokuwa naomba ni idadi ya bati zinazotosha kufunika hilo Banda. Na nashukuru kwa ushauri wa kuweka kozi nne baada ya Renta
Picha namba moja
Chukua Upana wa bati baada ya kuezeka = 0.762m
Mfano Urefu wa bati = 3m
Area ya bati = 0.762x3= 2.286m²
Idadi ya bati = Area ya roof ÷ Area ya bati
= 165.2÷2.286
= 72.3 ~ 73
Bati 73
Ukienda kwa hesabu hiyo juu utapata
Picha namba mbili = bati 68
Picha namba tatu = bati 55
Picha namba nne= bati 61