yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Mkuu samahani kwa usumbufu.Haitoshi ndg, mana hata tank la lita 1000 tu kipenyo chake kinazidi futi 4, na pia inabidi kuachwe nafasi kati ya tank na mwisho wa slab inapoishia, tank lisiwe pembeni sana, itafanya uzito wa tank uegemee upande mmoja
Hilo tank lako lina ukubwa gani (kipenyo chake)?Mkuu samahani kwa usumbufu.
Vipi nikitumia hako kaeneo nilikozungushia blue, ndo nimweke zege angalau niweke tank lita 2000.
Hii ni sehemu ya stoo na kibalaza cha nyuma. Ina ukubwa wa 3 × 2 mita.
Engineer......nauona msimu wako wa offer amazing za ramani uleeeee Kidesemba fulani hivi ukifika tu tujuze nitakuja faster ka mshale nijipatie kiramani changu kwa bei ya punguzo....dah kukosa pesa kubaya....Ramani ya vyumba viwili yenye
- Sebule
- Jiko
- Chumba single bedroom 1
- Chumba self bedroom 1
- Choo cha jumuiya 1
Ukubwa ni mita 8 kwa mita 10
Kiwanja angalau mita 15 kwa 15
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasilianeView attachment 3148589
Ni vizuri zaidi kuta za partitions zikafuata kuta za chini, maana ukiweka kuta kwenye slab (ambapo chini yake hakuna mkanda especially kwenye kipande cha moja ya tatu cha kati cha slab, middle strip) unaongeza risk ya slab kubonyea (deflection)Mkuu na wakuu
Kwenye jengo la ghorofa moja, kuna ulazima partition za upper floor zifuatishe kuta za chini? Kwamba upper floor siwezi kupitisha ukuta sehemu ambayo chini hakuna kuta?
Offer itaanza muda si mrefu kabla ya mwezi december, ili kila mmoja aanze mwaka mpya na ramani yake mkononi, mvua zikikata tu watu waanze kuotesha misingiEngineer......nauona msimu wako wa offer amazing za ramani uleeeee Kidesemba fulani hivi ukifika tu tujuze nitakuja faster ka mshale nijipatie kiramani changu kwa bei ya punguzo....dah kukosa pesa kubaya....
Hata mimi nisiye engineer nimeelewaNi vizuri zaidi kuta za partitions zikafuata kuta za chini, maana ukiweka kuta kwenye slab (ambapo chini yake hakuna mkanda especially kwenye kipande cha moja ya tatu cha kati cha slab, middle strip) unaongeza risk ya slab kubonyea (deflection)
Majengo ya ghorofa huwa yanafanyiwa structural analysis, kwa hivyo kama kuna kuta za partition zinatakiwa zipite kwenye slab (ambapo chini hakuna mkanda), inabidi hizo kuta (wall loads) pia ziwekwe kwenye hiyo slab ili baada ya analysis ikuoneshe kwamba kutokana na mzigo uliouweka, nondo za slab zitatakiwa ziwe na spacing ya sentimita ngapi (kama itafeli kubeba hizo partitions, pia itakuonesha ambapo inaweza kukupa option ya kuongeza depth ya slab au vinginevyo)
Kwenye kudesign ghorofa, designer anatakiwa ajue kabisa kitu anachokidesign chini (kwenye ground floor), huko juu (first floor) kitakuwa ni kitu ganiHata mimi nisiye engineer nimeelewa
Je kitaalam inawezekana ili kupunguza load ya kuta kwa first floor kukawa na partitionz ambazo sio tofali namaanisha baadhi ya kuta za vyumba zikawa labda za gypsum na material yningine? isiyo ya mchanganyiko wa mchanga na cementKwenye kudesign ghorofa, designer anatakiwa ajue kabisa kitu anachokidesign chini (kwenye ground floor), huko juu (first floor) kitakuwa ni kitu gani
Mfano kwenye ground floor, muunganiko wa jiko na store unaweza ukatengeneza chumba ambacho ni self bedroom katika first floor (self room ni chumba na choo, ambapo store kwa upande wa juu inakuwa ni choo, na hilo jiko linakuwa ni chumba)
Mkuu umeandika wazo langu, baada ya Hechy Essy kutoa maelekezo nikawaza hivyo ulivyoandika. Tusubiri majibu. Tunaomba atushauri pia ni material gani tunaweza kutumiaKitaalam inawezaka ili kupunguza load ya kuta kwa first floor kukawa na partitionz ambazo sio tofali namaanisha baadhi ya kuta za vyumba zikawa labda za gypsum na material yningine? isiyo ya mchanganyiko wa mchanga na cement
Sure kiukweli kama kitaalamu inawezekana inaweza ikawa ni option nzuri ya kupunguza gharama maana huu ujenzi ambapo hela unazitaabikia inabidi mtalaam atushauri namna gani ya kupunguza gharama zisizo za lazimaMkuu umeandika wazo langu, baada ya Hechy Essy kutoa maelekezo nikawaza hivyo ulivyoandika. Tusubiri majibu. Tunaomba atushauri pia ni material gani tunaweza kutumia
Nina design kule juu ilikuwa 2 rooms sasa nafikiri kuongeza cha tatu kidogo, maana kuna nafasi kubwa tu
Wataalam wakitumika watasaidia kushauri kitaalam na hii itapelekea kuepusha makosa au kupunguza gharama mfano siku hizi maghorofa ya makazi na hata ya biashara yenye floor 1-3 mengi yanatumia nondo mm 12 kwenye nguzo sasa wengine wanaiiga tu kutumia hizo mm 12 ambapo unakuta hakuna anaysis ya kitaalam imefanyika ili kuona if kweli structural ni sawa.Mkuu umeandika wazo langu, baada ya Hechy Essy kutoa maelekezo nikawaza hivyo ulivyoandika. Tusubiri majibu. Tunaomba atushauri pia ni material gani tunaweza kutumia
Nina design kule juu ilikuwa 2 rooms sasa nafikiri kuongeza cha tatu kidogo, maana kuna nafasi kubwa tu
Wataalam wakitumika watasaidia kushauri kitaalam na hii itapelekea kuepusha makosa au kupunguza gharama mfano siku hizi maghorofa ya makazi na hata ya biashara yenye floor 1-3 mengi yanatumia nondo mm 12 kwenye nguzo sasa wengine wanaiiga tu kutumia hizo mm 12 ambapo unakuta hakuna anaysis ya kitaalam imefanyika ili kuona if kweli structural ni sawa.
Kingine nimeona kwenye slab kuna majengo yana kichanja kimoja cha nondo mfano jengo la ilipokuwa branch ya postal bank kariakoo na mengine mengi yanatumia vichanja 2. Sasa fundi maiko ambaye ameona hilo jengo la benk ya posta anaweza conclude kuwa kichanja 1 cha nondo kinatosha!!!
Partition za gympsum boards au hata zile za PVC boards unaweza ukatumia tu, hazinaga shida kutokana na uzito wake kuwa mdogo kulinganisha na uzito wa kuta za tofali.Je kitaalam inawezekana ili kupunguza load ya kuta kwa first floor kukawa na partitionz ambazo sio tofali namaanisha baadhi ya kuta za vyumba zikawa labda za gypsum na material yningine? isiyo ya mchanganyiko wa mchanga na cement
Dah fursa hii ya kuanza kighorofa changu, nitakutafuta Engineer unichoree ramani na structural ila ujue kabisaa kwenye nguzo unanichorea structural drawings ya nondo za mm 12 na sio mm 16 kwenye nguzo na usiniwekee nguzo nyingi maana hela zenyewe za mawazo sanaaa 🤣😭😭 japo najua ushasemaga kitaalam NO maana za mm 12 zinanepa ila kibishi nitakutafuta.Offer itaanza muda si mrefu kabla ya mwezi december, ili kila mmoja aanze mwaka mpya na ramani yake mkononi, mvua zikikata tu watu waanze kuotesha misingi