yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Mkuu samahani kwa usumbufu.Haitoshi ndg, mana hata tank la lita 1000 tu kipenyo chake kinazidi futi 4, na pia inabidi kuachwe nafasi kati ya tank na mwisho wa slab inapoishia, tank lisiwe pembeni sana, itafanya uzito wa tank uegemee upande mmoja
Vipi nikitumia hako kaeneo nilikozungushia blue, ndo nimweke zege angalau niweke tank lita 2000.
Hii ni sehemu ya stoo na kibalaza cha nyuma. Ina ukubwa wa 3 × 2 mita.