yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Inawezekana japo vyumba havitakuwa na ukubwa wa kutosheleza, hasa hapo kwenye mapana ya mita 11Mkuu Hechy Essy nina kakiwanja kana ukubwa wa 18m × 18m. Nataka niweke nyumba yenye ukubwa wa 14.5m × 11m. Iwe na vyumba 4 vya kulala, Sebule, Dinning, Jiko na stoo ndogo. Mkuu vipi itawezekana hii?
hapo chapa room za 2.5M × 2.5?Inawezekana japo vyumba havitakuwa na ukubwa wa kutosheleza, hasa hapo kwenye mapana ya mita 11
Hapana, minimum size ya chumba cha kulala atleast ianzie 2.7m x 2.7m na kuendelea ambayo ni sawa na futi 9 kwa 9hapo chapa room za 2.5M × 2.5?
Kwenye slab huwa tunatumia nondo za milimita 12, tofauti huwa inakuja kwenye spacing kati ya nondo na nondo pamoja na kina (depth) cha slab.Hechy Essy kwa jengo la kawaida la makazi la ghorofa moja nondo size gani ndo zinatakiwa kutumika kwenye slab? Nimesoma mahali kuwa inawezekana kutumia mm 12, na 10 kwenye slab kwa ghorofa moja kwa maana ya kichanja cha juu na chini je hii ni sawa
Mkuu mimi hukunipa ushirikiano nilipohitaji kufanya kazi na wewe!Katika kupunguza gharama za ujenzi, mikanda yote ya nje unaweza ukafunga nondo nne nne, na mikanda ya ndani ukafunga nondo tatu tatu. Hapa nazungumzia mikanda ya juu
Hii ni kwa sababu kuta za nje ndio zinakuwa na madirisha, lakini pia sehemu yoyote ambayo opening yake (iwe ni mlango ama dirisha) inazidi upana wa futi 4 ni vizuri mikanda yake ukafunga nondo nne nne
Offer ya punguzo la bei inaanza leo tarehe 2 December, na itaisha tarehe 31 December
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Njia ya mawasiliano unayotumia ni ngumu sana ndg na hata kule inbox nilikuambia. Ukipiga voice call, ili mtu aone kama simu inaita na apokee ni mpaka awepo online, tunakuwa tunapichana muda wa kuwepo online.Mkuu mimi hukunipa ushirikiano nilipohitaji kufanya kazi na wewe!
Yaani sijui nakosea wapi tu.
Nashangaa sana.
Sasa mkuu,kweli hata kusema upate dakika 10 tu tutaongea tukamaliza ilishindikana?Njia ya mawasiliano unayotumia ni ngumu sana ndg na hata kule inbox nilikuambia. Ukipiga voice call, ili mtu aone kama simu inaita na apokee ni mpaka awepo online, tunakuwa tunapichana muda wa kuwepo online.
Atleast ungekuwa unaacha voice note, ili hata mtu akiingia online asikilize lakini kupiga voice call pekee, ni mtihani ndg.
Wakati wa kudesign, kuna vitu pia nitahitaji kukuuliza na kama haupo online maana yake itabidi nisitize zoezi kwanza mpaka nitakapopata feedback yako ya kuendelea mbele na zoezi, inaweza muda mrefu kumaliza hiyo kazi
Voice note na Maandishi ndio njia nzuri zaidi ndg, voice note unaweza ukairudia kuisikiliza na maandishi pia unaweza ukayasoma kwa mara nyingine tofauti na voice call ambayo hata access yake ni ngumuSasa mkuu,kweli hata kusema upate dakika 10 tu tutaongea tukamaliza ilishindikana?
Dah!
Kuongea ni rahisi sana kuliko voice note.
Nadhani Leo tungekuwa tumemaliza,ila kwa ufupi hadi muda huu nimekwama kuendelea,sababu sina ramani,na nilitegemea tufanye kazi.
Basi tu.
Basi nitakuandikia mkuu!Voice note na Maandishi ndio njia nzuri zaidi ndg, voice note unaweza ukairudia kuisikiliza na maandishi pia unaweza ukayasoma kwa mara nyingine tofauti na voice call ambayo hata access yake ni ngumu
Sawa ndg, karibu sanaBasi nitakuandikia mkuu!