Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 873
- 3,307
- Thread starter
-
- #861
Hapo ulipoandika CH kama ndio nafasi ya karo la choo, nafasi haitatoshaWakuu Nina kiwanja cha 50ft*40ft ramani hapo chini tafadhar naomba makadirio ya mahitaji .
Natanguliza shukuran
Asante mkuu kwa maelezo mazuri. Je kama nimetumia mm16 kwenye column ni lazima msingi uwe na 16mm? Au naweza kutumia 12mm kwenye msingi?Kwa jengo la ghorofa moja, minimum diameter ya nondo kwa nguzo inayotakiwa kutumika ni milimita 16, hiyo ya milimita 12 watu wanaforce tu kupunguza gharama.
Kwenye jengo la ghorofa, nondo za milimita 12 huwa zinatumika kwenye slab na ngazi
Hapana, kwenye msingi usitumie kabisa nondo za 12mm kwenye nguzo maana huko ndipo kwenye mzigo mkubwa. Nondo huwa zinapungua (idadi au size) kwa kwenda juu, sio kuja chini.Asante mkuu kwa maelezo mazuri. Je kama nimetumia mm16 kwenye column ni lazima msingi uwe na 16mm? Au naweza kutumia 12mm kwenye msingi?
1. Size ya base (vitako vya nguzo) ni ngapi kwa ngapi?Wakuu naombeni estimates ya nondo mm16 kwenye column. Kuanzia kwenye footing mpaka ukuta. Ukuta ni 4.65(Msingi 1.5m +ukuta 3.15m)
Maelezo yako yote yamenifaa. Ila kwenye msingi nilimaanisha ring beam foundation. Kama nimetumia column 16mm je ring beam zitaweza kutumika 12mm?Hapana, kwenye msingi usitumie kabisa nondo za 12mm kwenye nguzo maana huko ndipo kwenye mzigo mkubwa. Nondo huwa zinapungua (idadi au size) kwa kwenda juu, sio kuja chini.
Kiasi cha mzigo unaobebwa na nguzo za second floor ni tofauti na kiasi cha mzigo unaobebwa na nguzo za first floor ndio maana unaweza ukakuta nguzo zimeanzia chini na nondo sita sita lakini juu zikamaliza na nondo nne nne
1. Size ya base ni 1m1. Size ya base (vitako vya nguzo) ni ngapi kwa ngapi?
2. Nguzo zina nondo ngapi ngapi?
Kiujumla jengo lolote la ghorofa, nondo za milimita 12 huwa zinatumika katika slab, kuta za lift na ngazi. Kwenye Ground beam, wengine huwa wanaforce kuweka nondo za milimita 12 lakini wanafunga nondo sita sita (juu tatu, chini tatu), sio nne nne.Maelezo yako yote yamenifaa. Ila kwenye msingi nilimaanisha ring beam foundation. Kama nimetumia column 16mm je ring beam zitaweza kutumika 12mm?
1. Vitako1. Size ya base ni 1m
2. Nguzo ni nondo 4 za mm16
Asante sana mkuu, maelezo yako yamenyooka hata nisie fundi naelewa1. Vitako
Ili kuavoid wastage, kata vipande vya futi nne nne ambapo katika kila nondo moja nzima utapata vipande 10 na kila base itakuwa ina vipande 12 kwa spacing ya 150mm kila upande (6pcs kwa 6pcs). Hapo katika kila vitako vitano, vitakuwa vinatumia nondo 6 nzima
2. Nguzo za msingi (Startet column)
Kama eneo lako ni flat, kata vipande vya mita nne nne ambapo katika kila nondo moja nzima, utapata vipande vitatu. Katika kila nguzo 3, utatumia nondo 4.
3. Nguzo za Ground floor
Hapa pia fanya kama no. 2 hapo juu, kila kipande kiwe na urefu wa mita nne nne
Kiufupi kila nguzo moja itatumia nondo 4 (kitako, nguzo ya msingi, na ya ground floor)
Tuko pamoja ndgAsante sana mkuu, maelezo yako yamenyooka hata nisie fundi naelewa