Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
- #901
Katika nyumba, floor haiwezi kuwa na level moja nyumba nzima. Kuna sehemu zingine itabidi kuwe na step za kupanda na kuna sehemu zingine inabidi kuwe na step za kushuka.
Mfano ukiwa unaingia chooni/bafuni, pale mlangoni panatakiwa pawe na step ya kushuka ili maji ya kule yasiweze kutoka nje ya choo kupitia mlangoni.
Mfano mwingine ni pale unapoingia kwenye chumba cha kulala, hapa inabidi pawe na step ya kupanda ili kuzuia maji ya kuridoni yasiweze kuingia vyumbani.
Sasa swali ni je, hizi step zinatakiwa zitengenezwe katika hatua ipi wakati wa kuweka rough floor au wakati wa kubandika tiles?
Kitaalam hizi step zinatakiwa zitengenezwe katika hatua ya rough floor na sio hatua ya tiles, kwa sababu kwanza ratio ya kujengea tiles ni kali (1:3) hivyo utaingia gharama kubwa kutengeneza hizo step kwa kutumia udongo wa tiles badala ya kutumia zege la Rough floor.
Lakini pia ukitumia udongo wa tiles kutengenezea hizo step, uwezekano wa tiles kuja kulia kama ngoma ni mkubwa kutokana na aina ya ubandikaji wa tiles atakaoutumia fundi (hizi aina za ubandikaji wa tiles kesho Mungu akipenda nitazielezea)
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane