Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
-
- #881
Yah kuna nguzo zingine huwa zinaishia floor ya kwanza (hasa hasa nguzo za kati), au wengine hupunguza idadi ya nondo mfano kama kwenye ground floor nguzo zilikuwa na nondo sita sita, katika floor ya kwanza wanaweka nondo nne nneKatika kupitapita nimekuta Quara wakijadili uwezekano wa nyumba ghorofa kutokuwa na idadi sawa ya columns kwa juu na chini. Kwamba kama load ya upper floor itakuwa ndogo basi unaweza kuweka idadi pungufu ya columns ukilinganisha na chini
Ukweli upoje hapa wakuu
Hivi ramani unaweza chora ata kama process ya kubadilisha hati i aendelea?Offer itaanza muda si mrefu kabla ya mwezi december, ili kila mmoja aanze mwaka mpya na ramani yake mkononi, mvua zikikata tu watu waanze kuotesha misingi
Ili hiki kibaraza kiweze kubeba tank la litre 5000 itabidi zitumike nondo za mm ngapi?Unaweza ukachagua kibaraza kimoja wapo (kati ya kibaraza cha mbele sebleni, au kibaraza cha nyuma jikoni) kuweka zege juu ili usiingie gharama ya kujenga mnara wa tank la maji, lakini kingine utakuwa ume-save eneo kwa ajili ya matumizi mengine.
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Hawa fundis wetu watawrza mweli kusoma maana hiyo nayo changamotoKatika kazi za usukaji wa nondo (iwe ni slab, nguzo, au chochote) , ni vizuri ukawa na document inayoitwa Bar Bending Schedule
Hii document inakuwa inaonesha urefu wa vipande vyote vya nondo pamoja na idadi zake, shape ya nondo, size n.k ambapo inakuwa inamuongoza fundi kufanya kazi yake kirahisi zaidi lakini pia inasaidia sana kupunguza mabaki yasiyotumika (wastage) kutokana na nondo kuwa zinakatwa kwa mpangilio maalum
Kupitia hii document, fundi ataweza kugundua kwamba wastage ya sehemu moja inaweza ikatumika sehemu nyingine hivyo hatoweza kutumia nondo nyingine nzima wakati kuna wastage inayoweza kutumika mahali hapo
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Na mimi nasubiri jibu hapa.Ili hiki kibaraza kiweze kubeba tank la litre 5000 itabidi zitumike nondo za mm ngapi?
Hili dude lilinipitaje? Asante kwa elimuKatika kazi za usukaji wa nondo (iwe ni slab, nguzo, au chochote) , ni vizuri ukawa na document inayoitwa Bar Bending Schedule
Hii document inakuwa inaonesha urefu wa vipande vyote vya nondo pamoja na idadi zake, shape ya nondo, size n.k ambapo inakuwa inamuongoza fundi kufanya kazi yake kirahisi zaidi lakini pia inasaidia sana kupunguza mabaki yasiyotumika (wastage) kutokana na nondo kuwa zinakatwa kwa mpangilio maalum
Kupitia hii document, fundi ataweza kugundua kwamba wastage ya sehemu moja inaweza ikatumika sehemu nyingine hivyo hatoweza kutumia nondo nyingine nzima wakati kuna wastage inayoweza kutumika mahali hapo
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Ramani unaweza ukachorewa muda wowote tu, kitu cha muhimu ni kujua vipimo vya hicho kiwanja pamoja na sketch yake (mpangilio wa barabara za mitaa) ili anayechora ajue namna ya kupangilia ramani yake katika hicho kiwanja (site layout)Hivi ramani unaweza chora ata kama process ya kubadilisha hati i aendelea?
Na kibali cha ujenzi nacho napata pia?Ramani unaweza ukachorewa muda wowote tu, kitu cha muhimu ni kujua vipimo vya hicho kiwanja pamoja na sketch yake (mpangilio wa barabara za mitaa) ili anayechora ajue namna ya kupangilia ramani yake katika hicho kiwanja (site layout)
Hapo ndugu yangu kwa usalama zaidi ni heri ukajenga mnara wa tank pembeni kwa sababu hizo lita 5000 ni nyingi, kiuzito ni sawa na tani 5 na ukiangalia mkanda wa juu ambapo uzito wa slab ya kibaraza unaegemea, umelala kwenye tofali za nchi 5 na kingine mkanda wa juu mara nyingi depth yake inakuaga ni nchi 6 mpaka 8. Kwenye vibaraza sana sana huwaga zinawekwa tank za lita 2000Ili hiki kibaraza kiweze kubeba tank la litre 5000 itabidi zitumike nondo za mm ngapi?
WEKA PICHA MKUU.Kuna aina mbili za mikato ya pembeni mwa tofali, kuna tofali zinazotengeneza herufi "V" na kuna zile zinazotengeneza herufi "U"
Tofali zenye mkato wa herufi "U" ni rahisi kubebeka tofauti na tofali zenye mkato wa herufi "V"
Tofali zenye mkato wa "U" ni nzuri zaidi kwa sababu mkato wake unakupa nafasi ya kutosha ya kupiligia msumari kati kati ya tofali bila tofali kumeguka. Hili zoezi lipo katika hatua ya kupigilia mbao za sahani kwa ajili ya mkanda wa juu sehemu za madirisha na milango
Muda wa offer ya punguzo la bei unaelekea ukingoni, imebaki wiki moja tu
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Nitawaletea picha ndgWEKA PICHA MKUU.
MIMI SIJAELEWA.
Amin amin, nashukuru ndg kwa maombi yako mazuri. Wiki hizi mbili za mwezi wa kwanza, offer itaendelea mpaka tarehe 15 January maana wengi walikuwa walikuwa na sikukuu, pengine imeshindikana kwao kujigawa kiuchumi. Karibuni sanaMkuu Hechy Essy Heri ya mwaka mpya.
Nafurahia sana maelekezo yako kwenye uzi huu tangu umeanza kutupa elimu hii bure humu ndani.
Mungu azidi kukufanikishia, na pia namuomba sana Mungu aniwezeshe nami pia angalau ofa yako ya mwaka huu itakapotokea niwe ni mmoja wa watakaoitumia hata kama ni kuchorewa tu mpangilio wa ukuta wa kuzungushia kiwanja, lakini lazima nifaidike na ofa yako kwa namna yoyote kwa mwaka huu.