Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Ukisemacho kinaweza kuwa sawa!Ila ambacho si sawa ni hizo takwimu za mleta mada!Mimi hapo ndio nimesema Huo ni upotoshaji!Halafu mtu anaweka ramani nusu Ili kuhadaa watu,unaona ni sahihi?Unasahau kwamba moja na moja inamake mbili,kidogo kidogo watazichukua hizo 92,000sqkm zilizobaki.Tunachoshangaa ni huyo Supa pawa kushindwa kuhold hizo sqkm alizokuwa amezinyakua.Ukrain kwa sasa wanajiamini zaidi na watazirudisha zote.Ni swala la muda tu.Tujipe hadi mwisho wa October utaona matokeo yake.