Ramani ya Maandamano ya CDM; NI Njia ya mauti au Ulemavu M/kiti Kashawapa

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Ramani hii hapa:
20240922_084002.jpg

Binadamu anaangalia maslahi yake, ukiitwa kupambana hakikisha una mgao wako unaolingana na viungo utakavyopoteza au kifo. Tsh
 
Ramani hii hapa:
View attachment 3102731

Hata wakati wa mkoloni, babu yako alihamasisha hivi hivi watu wasishiriki harakati za uhuru hadi wahakikishiwe maslahi binafsi.

Naona utamaduni huo.umejikita hadi kwa wajukuu na vitukuu vyakrle.

Shameless
 
Uzuri ruti hii tutatembelea humu humu JamiiForums, sidhani kama kuna kiroboto mwenye ujasiri wa kuingia barabarani kwenda kuharibiwa viungo vyake na Polisi.
 
Ramani hii hapa:
View attachment 3102731

Binadamu anaangalia maslahi yake, ukiitwa kupambana hakikisha una mgao wako unaolingana na viungo utakavyopoteza au kifo. Tsh
Askari ukiwatazama saikolojia yao, silaha walizobeba hawaonyeshi kama wanaenda kujadiliana na waandamanaji warudi majumbani, wanaonyesha wanaenda vitani na adui ni mwandamanaji. Wao wana posho zao tayari pengine na mishahara iliwekwa na bonus.
 
Like mother
Like daughter.

Yeye aliwaita mbwa wananchi wake
Wewe unawaita viroboto wananchi wenzako
Ndugu Mbowe, ambaye anahamasisha maandamano haya, ana watoto lakini hajawahi hata siku moja kuwaweka mbele kwenye harakati hizi.

Kwa nini nyinyi mufanye hivyo? Vijana, kumbukeni kuwa Tanzania yetu ni nchi moja tu, na hatuna nyingine. Maandamano haya hayatatufaidisha, bali yataharibu taswira nzuri ya nchi yetu.
Tuchukue jukumu la kuyapinga kwa nguvu zetu zote, na tuachane na wanasiasa wachache wanaotaka kutuweka bize na maandamano ili wafurahishe mabosi wao huko nje, kama vile Ujerumani, kwa malengo yao binafsi.
 
Maandamano ni sehemu ya demokrasia Kwa Nchi zinazoongozwa na watu smart tofauti na Tanzania ambapo wajinga na hayawani ndiyo wamepewa madaraka na matokeo yake utekaji umetamalaki
Kwahiyo watu wataacha Kusafiri na kusafirisha bidhaa bishara na Huduma Siku nzima kwasababu ya maandamano ya chadema?Most likely mnaumwa si bure... Hivyo Watu waache kazi zao wakavunjwe viuno ili kutengeneza Mkate wa Mbowe na familia yake sio? Pesa za Ruzuku bilion 2.7 ziko wapi?
 
Hata wakati wa mkoloni, babu yako alihamasisha hivi hivi watu wasishiriki harakati za uhuru hadi wahakikishiwe maslahi binafsi.

Naona utamaduni huo.umejikita hadi kwa wajukuu na vitukuu vyakrle.

Shameless
Utapeli tu, hata wanajeshi wanalipwa wakienda vitani, wewe unataka watoto wa watu wakavunjwe viungo bure halafu baadae viongozi muitane kwa majadiliano mnywe kahawa na korosho huku mkikubalina mambo fulani fulani?
FB_IMG_1724688607241.jpg
 
Tulipofikia kama Nchi tunahitaji reconciliation

Vyama vya Upinzani vipo hapo Kwa mujibu wa Katiba na Sheria

Mkiona hamtaki si mvifute turudi Mwaka 1977 wakati wa Nchi kuongozwa na Chama kimoja

Majaribio yote ya kumuondoa Mwl madarakani yalifanyika wakati Nchi ikiwa ni ya Chama kimoja

Tutafakari na hilo pia
 
Ndugu Mbowe, ambaye anahamasisha maandamano haya, ana watoto lakini hajawahi hata siku moja kuwaweka mbele kwenye harakati hizi.

Kwa nini nyinyi mufanye hivyo? Vijana, kumbukeni kuwa Tanzania yetu ni nchi moja tu, na hatuna nyingine. Maandamano haya hayatatufaidisha, bali yataharibu taswira nzuri ya nchi yetu.
Tuchukue jukumu la kuyapinga kwa nguvu zetu zote, na tuachane na wanasiasa wachache wanaotaka kutuweka bize na maandamano ili wafurahishe mabosi wao huko nje, kama vile Ujerumani, kwa malengo yao binafsi.
Tofauti na wanajeshi wanaopoteza maisha vitani, Waandamanaji hawatapewa fidia kwa vifo, majeruhi na ikitokea muujiza wakapewa basi itakuwa kidogo tu kutuliza munkari na si wote huku waandaaji wakipanga mikakati ya nafasi mpya za kisiasa na vyeo vyenye posho na mishahara.
 
Kina nyerere wangekuwa na mawazo kama hayo hadi leo ungekuwa unapigwa mijeledi kubeba pembe za ndovu na wakoloni.
Kuna nchi ushaona kuna utumwa wa mijeledi karne hii? Binadamu yake maslahi, ukoloni ulikuwa na maslahi yakafika mwisho na uhuru umekuja na maslahi yake. Tusidanganyane, hakuna kitu kinapiganiwa hapo bila maslahi.
 
Tulipofikia kama Nchi tunahitaji reconciliation

Vyama vya Upinzani vipo hapo Kwa mujibu wa Katiba na Sheria

Mkiona hamtaki si mvifute turudi Mwaka 1977 wakati wa Nchi kuongozwa na Chama kimoja

Majaribio yote ya kumuondoa Mwl madarakani yalifanyika wakati Nchi ikiwa ni ya Chama kimoja

Tutafakari na hilo pia
Chama kimoja kwa Tanzania ni hatari zaidi. Acha twende hivi. Vinginevyo watauana sana wenyewe kwa wenyewe.
 
Utapeli tu, hata wanajeshi wanalipwa wakienda vitani, wewe unataka watoto wa watu wakavunjwe viungo bure halafu baadae viongozi muitane kwa majadiliano mnywe kahawa na korosho huku mkikubalina mambo fulani fulani?
View attachment 3102778
Aksante sana kwa picha NZURI imebeba ujumbe.
Askari waliochukua kipondo!!!
Wameambulia ulemavu,kufa,kutumia,kupoteza viungo,.

Viongozi waliwatuma makamanda wamepewa nishani nyingi za heshima,but under expenses of junior polices.

Gharama analipa Polisi wa kawaida!!!

Nishani anatunukiwa ofisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ,naona walemavu wote wanaangalia kushoto, wanasikitika wanasema Tungejua??

Amka wewe Polisi, MAJUTO NI MJUKUU na AJIZI NI NYUMBA YA NJAA....🤔🤔🤔🤔
 
Hapo sasa angalau hao polisi huwa wanalipwa posho, fidia na wakipoteza maisha familia zao pengine kuna bima. Sasa kuna wanaoitwa waandamanaji.
 
Back
Top Bottom