Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Kwa hiyo wewe ni mkweli kuliko ushahidi wa clip ya video. Jamaa mbishi kama Waha wa KibondoNi wazi hukuelewa nilicho kua nikikufahamisha au hupendi tu kuelewa.
Soma tena kama hukuelewa.
Sioni uhusiano wowote wa video hiyo na hayo unayosema wewe na kutaka watu wayaamini kuwa ndio ukweli.