Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Tunalaani wauwaji na watekaji kei weweNyerere aligombea uhuru kutoka kwa wakoloni Waingereza, nyinyi mapimbi mnagombea nini? Kula ya Mbowe??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunalaani wauwaji na watekaji kei weweNyerere aligombea uhuru kutoka kwa wakoloni Waingereza, nyinyi mapimbi mnagombea nini? Kula ya Mbowe??
Ramani hii hapa:
View attachment 3102731
Binadamu anaangalia maslahi yake, ukiitwa kupambana hakikisha una mgao wako unaolingana na viungo utakavyopoteza au kifo. Tsh
Karibu uandamane kuanzia Ilala, mbona ramani imetolewa!! Usiishie kuwa jemedari wa mtandaoniNina akili timamu za kwangu tumefika hapa tulipo kwasababu ya nyie mnao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kizalendo, a .k.a kujizima data, (unyumbu), unyumbu wa kisiasa ni tabia ya kundi fulani lililopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, do not compare yourself with my calibre
Hata Mama yako anayo hiyo qummaTunalaani wauwaji na watekaji qumma wewe
Noted with thanks, Soma pia kuhusu ostracism utanishukuru, pia kila mtu atakufa unaweza kuanza wewe nikafuatia mimiKaribu uandamane kuanzia Ilala, mbona ramani imetolewa!! Usiishie kuwa jemedari wa mtandaoni
Akili zenyewe umeziweka kwennye ngono tu, sasa maandamano utayaweza? Au nyinnyi ndiyo kazi yenu kutiwa na akina Mboe baada ya maandamano??Sio kwa akili kama zako,unaonekana "nungayembe"
Mkataze mumeo asije kwenye maandamano,wengine hawakuhusu.
Umemwekea limbwata mumeo na hasemi kitu kwako unataka kutucontrol wote.??
Kuwa na adabu na wanaume wa watu.
Una ushahidi wa mpinzani aliepigwa risasi na serikali?Tutafanyaje Mkuu, kama wenye mamlaka hawavitaki hivyo vyama vingi?
Nafikiri wavifute kuliko kupiga wapinzani wako risasi, kuendesha mauaji yao, kuwafunga n.k
Andamana dogoHata wakati wa mkoloni, babu yako alihamasisha hivi hivi watu wasishiriki harakati za uhuru hadi wahakikishiwe maslahi binafsi.
Naona utamaduni huo.umejikita hadi kwa wajukuu na vitukuu vyakrle.
Shameless
Achana naye bwege huyoUna ushahidi wa mpinzani aliepigwa risasi na serikali?
Ulichukua hatua gani?
Unafikiri nani ana jukumu la kuyatokomeza hayo, eti ndugu Engineer.
Historia ya kufanya hiki unachodai hakiwezekani eti sababu unaowaita Police watakuwa wamekuhakikishia watamwaga vinyesi vya waandamanajiMaandamano ni sehemu ya demokrasia Kwa Nchi zinazoongozwa na watu smart tofauti na Tanzania ambapo wajinga na hayawani ndiyo wamepewa madaraka na matokeo yake utekaji umetamalaki
Huyo Lissu alipigwa risasi na majambazi ama nani? Maana hadi leo hii hakuna ripoti ya tukio lakeUna ushahidi wa mpinzani aliepigwa risasi na serikali?
Ulichukua hatua gani?
Unafikiri nani ana jukumu la kuyatokomeza hayo, eti ndugu Engineer.
Kama unakubli report haijatoa.Huyo Lissu alipigwa risasi na majambazi ama nani? Maana hadi leo hii hakuna ripoti ya tukio lake
Pole sana Mkuu, maandiko yanatukumbusha kwamba mpende jirani yako kama unavyojipendaKama unakubli report haijatoa.
Je nikisema uliyoyaandika hapa ni hisia zako tu sio fact utabisha?
Hakuna raia amewahi pigwa risasi na jambazi?
Nonsense.Pole sana Mkuu, maandiko yanatukumbusha kwamba mpende jirani yako kama unavyojipenda
Jitahidi ulitafakari hilo neno na uchukue hatua kabla hujafika miaka 60, kwamaana muda wa kufanya hayo ni sasa