Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 1,769
- 2,523
Nimesoma baadhi ya comments naona kama kuna usalama njaa wamemwangwa humu wamepanic wanatisha watu kwa ajili ya matumbo yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda amani na naombea amani ya nchi hii hata leo nimeombea jambo hili lisilete maumivu kwa watu..ila wito kwa serikali nawenyewe wajitahidi kutatua mitafuruku wasifanye kuwa ni kawaida, kweli daily people die , sabab ni nyingi pia ila hazipaswi kuhusisha na ukiukaji wa makusudi wa haki za mtu kuishi. Kama kweli kuna watekaji au wauaji hii isionekane ni kawaida, tukemee na pia vyombo vya dola visiache question marks juu ya matukio hayo..mana watu kawaida kama mm naweza nisielewe kwanini matukio hayo na yanatishia amani hata kwa wengine. Mhimu vyama pinzani na raia kawaida kama tunajua wenzetu wenye mamlaka hawawezi kutatua mitafuruku hio basi tusifanye njia ambazo wao hawataki kwasababu bado majibu hayatapatikana zaidi ya wao kuwaumiza watu. Please vyomho vya dola msiwazie kuwaumiza wanaoandamana mpaka muone wanaleta fujo kweli..muwe karibu yao kama mnavyokuwa karibu ktk ulinzi wa mali nk.Ndugu Mbowe, ambaye anahamasisha maandamano haya, ana watoto lakini hajawahi hata siku moja kuwaweka mbele kwenye harakati hizi.
Kwa nini nyinyi mufanye hivyo? Vijana, kumbukeni kuwa Tanzania yetu ni nchi moja tu, na hatuna nyingine. Maandamano haya hayatatufaidisha, bali yataharibu taswira nzuri ya nchi yetu.
Tuchukue jukumu la kuyapinga kwa nguvu zetu zote, na tuachane na wanasiasa wachache wanaotaka kutuweka bize na maandamano ili wafurahishe mabosi wao huko nje, kama vile Ujerumani, kwa malengo yao binafsi.
Tshs umetisha!Utapeli tu, hata wanajeshi wanalipwa wakienda vitani, wewe unataka watoto wa watu wakavunjwe viungo bure halafu baadae viongozi muitane kwa majadiliano mnywe kahawa na korosho huku mkikubalina mambo fulani fulani?
View attachment 3102778
Maandamano siyo maonyesho ya u-Miss Temeke au maonyesho ya kwaya. Nenda kaandamane wakakuvunjeKumbe mtu akienda kuandamana automatically anaenda kuvunjwa miguu? Na mbona mmehaha sana hili suala? Mnatufanya tujiulize maswali mengi sana, au tukubaliane kuwa ni kweli “meli” i karibu kuzama!!!
Kwahiyo wewe ndio umejipa jukumu la kutukumbusha kuhusu maslahi as if sisi ni naive hatujui kinachoendelea.Yaani unauliza anayezuia maandamano yanayohatarisha uungwaji mkono wake akiyazuia anazuia kwa maslahi ya nani? Boss, Serious? Huna jibu la hilo swali?
Binti, hujakatazwa kupigania maslahi yako. Unapigania lile linalokufaa, lenye maslahi kwako na familia yako, Wewe kama upande wako ni wa kuandamana na ndio wenye maslahi kwako kapiganie maslahi yako.
Ndio, hukusukia kuwa ukiambiwa usiandamane, wewe ukaandamana basi udhibitiwe tu maana hakuna namna. Sasa hapo kwenye kudhibitiwa ndo kuna kuvunjika miguu wakati mwingine.
Elewa nafasi yako kwenye hizi fursa za kisiasa kisha pigania unaloona linakufaa, matokeo yatakuwa ni kwako na uzao wako.
Nyerere aliwahi kuwaweka watoto wake mbele wakati wa harakati za kudai Uhuru?Ndugu Mbowe, ambaye anahamasisha maandamano haya, ana watoto lakini hajawahi hata siku moja kuwaweka mbele kwenye harakati hizi.
Kwa nini nyinyi mufanye hivyo? Vijana, kumbukeni kuwa Tanzania yetu ni nchi moja tu, na hatuna nyingine. Maandamano haya hayatatufaidisha, bali yataharibu taswira nzuri ya nchi yetu.
Tuchukue jukumu la kuyapinga kwa nguvu zetu zote, na tuachane na wanasiasa wachache wanaotaka kutuweka bize na maandamano ili wafurahishe mabosi wao huko nje, kama vile Ujerumani, kwa malengo yao binafsi.
Ondoa wasiwasi wala siendi kuandamana, mnamiss point ya msingi na ni kwasababu mmekuwa programmed kutumia nguvu na si akili.Maanddamano siyo maonyesho yabu-Miss Temeke au maonyesho ya kwaya. Nenda kaandamane wakakuvunje
Wanalipwa USHUJAA!Hapo sasa angalau hao polisi huwa wanalipwa posho, fidia na wakipoteza maisha familia zao pengine kuna bima. Sasa kuna wanaoitwa waandamanaji.
Sio kwa akili kama zako,unaonekana "nungayembe"Hata wewe una papuchi ila iko nyuma, nenda kaioshe kabla basha wako hajaja
Hakuna sisi, kuna wewe na ndugu zako na familia yako. Kama wewe unajua maslahi yako ni yapi na upo tayari kuyapigania tatizo liko wapi?Kwahiyo wewe ndio umejipa jukumu la kutukumbusha kuhusu maslahi as if sisi ni naive hatujui kinachoendelea.
Samiamustgo ni nini? Ipo haipo? Nimeona Mbowe kaachana nayo, hii ndo ilisababisha marufuku ya maandamano.Viongozi wa CDM wamesema hadharani zaidi ya mara 10 kuwa wanaitisha maandamano ya amani kuweka pressure ya kushughulikia yanayoendelea? Na wameomba polisi kuwalinda? Yaani mtu atake kufanya fujo na bado aombe polisi kumlinda? Uelewa wenu ni finyu kiasi hiko?
Polisi wamesema samiamustgo ni haramu hivyo usiandamane, ukiandamana wakaamua kukudhibiti unadhani atakayeruka ruka kama maarage ni nani?It’s about doing the right things, mtu yeyote mwenye sane mind asingekuwa hapa anahubiria wananchi maslahi, angesupport wale wanaotaka “uwajibikaji “ Kwanini mnaruka ruka kama maharage wakati mnajua fika haya mambo yalikoanzia? Ilikuwa kuhusu uwajibika, hayo maslahi mmeyatoa wapi?
Hahaha, unadhani mbowe anafanya siasa bure bila maslahi?Ni mbowe huyo huyo aliyewazuia wananchi (mliowapa jina la wanaChadema) kumfanyia fujo Mh. Masauni msibani, Akiwa ana hope kuwa serikali itachukua hatua stahiki, basi walau Kuwafariji walioumizwa na matukio haya, Allover the sudden wana CCM wakawa kila mahali kuwamock CDM na kupush wapewe kesi/sijui washughulikiwe… Washughulikiwe kwa kipi walichofanya? (which ni kweli wameanza kushughulikiwa). Viongozi waupinzani wanaona enough is enough, ngoja tupush watu wafanye kazi yao, Cause they make the matter worse badala ya kucool situation, Wewe bado uko hapa unahubiri maslahi blah blah! Oneni aibu!
Hapa umetoa pendekezo sahihi.Eti vidrama, watu wanajiteka, oh CDM wanatekana, kifo ni kifo!
Fanyeni analysis tumefikaje hapa! Na nini kingefanyika tusingekuwa na mjadala huu!
Sawa, sawa. Wakaupokee huo ujira mkuu.Wanalipwa USHUJAA!
Kwasasa hakuna chama cha siasa kinaweza kuiondoa CCM madarakani kwa mfumo wa uchaguzi tulio naoKwahiyo kesho kila anayeingia barabarani ajue kwamba ameingia kumuondoa raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania katika nafasi yake, hilo liwe wazi ili wajue wanachofanya.
Ukitaka kumtawala mtu mpe maisha magumu,. Nahapo ndipo wanapo cheza Napo ccmKwahiyo watu wataacha Kusafiri na kusafirisha bidhaa bishara na Huduma Siku nzima kwasababu ya maandamano ya chadema?Most likely mnaumwa si bure... Hivyo Watu waache kazi zao wakavunjwe viuno ili kutengeneza Mkate wa Mbowe na familia yake sio? Pesa za Ruzuku bilion 2.7 ziko wapi?
Nakubaliana mkuuKwasasa hakuna chama cha siasa kinaweza kuiondoa CCM madarakani kwa mfumo wa uchaguzi tulio nao
Nina akili timamu za kwangu tumefika hapa tulipo kwasababu ya nyie mnao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kizalendo, a .k.a kujizima data, (unyumbu), unyumbu wa kisiasa ni tabia ya kundi fulani lililopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, do not compare yourself with my calibreKwani jamii ina shida gani? Ogopa kutumiwa na akina Mbowe, mkishavunjwa magoti wao wataenda Ikulu kwenye maridhiano nyinyi mkiwa mnaugulia maumivu